Contact Team VIVA

Sisi ni vijana wabunifu, ambao tumejipanga kutimiza ndoto zetu kwa kufanya kile tunachokipenda kuwa ni bora zaidi, na kinachoishi kwa muda mrefu. Tukiwa na uzoefu na wenye weledi, tumefanya kazi nyingi na kubwa nchini kwetu Tanzania, kuanzia utengenezaji wa Website mbalimbali za Halmashauri za Wilaya, Mahoteli, Majimbo na Taasisi zingine. Pia tumeandaa majarida, Kalenda, Nembo na mambo mengi yaliyohusisha Ubunifu wa hali ya juu na yametupatia sifa na kuaminika na wadau mbalimbali, ambao wengine wamekuwa wateja wetu wakubwa. 

vivaHeadline Media

Uhuru Street, African Muslim Agency Building Opp. JD Pharmacy

P.O.Box 42885 Dar Es Salaam, Tanzania

Tel. 0717 200 700