Chirwa kuikosa Simba Ngao ya Jamii

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limemzuia kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mzambia Obrey Chirwa kucheza mechi ya Ngao ya Jamii dhidi ya mahasimu wao wa jadi, Simba SC Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam Jumatano. Ofisa Habari wa TFF, Alfred Lucas amesema leo katika mkutano na Waandishi wa Habari mjini Dar es Salaam kwamba, Chirwa hawezi kucheza kesho kwa sababu katika ...

Soma Zaidi

Dangote: Nikiinunua Arsenal nitamfuta Wenger

Mfanyabiashara tajiri raia wa Nigeria Aliko Dangote, ambaye anaorodheshwa kuwa mtu tajiri zaidi Afrika, amesema kuwa atamfuta kazi meneja wa Arsenal, Arsene Wenger, ikiwa atafaulu kuinunua klabu hiyo ya Uingereza, kwa mujibu wa shirika la Bloomberg. Aliko Dangote Wakati wa mahojiano na shirika hilo, Bwana Dangote alisema kuwa atajaribu kununua klabu hiyo, wakati ujenzi wa kiwanda chake cha kusafisha mafuta ...

Soma Zaidi

Breaking News! Soko la SIDO mbeya linateketea

Taarifa zilizotufikia usiku huu kutoka mkoani Mbeya, zinaeleza kuwa soko la Sido lililopo Mwanjelwa jijini humo linateketea kwa moto. Hadi sasa chanzo cha moto huo hakijafaahamika lakini inaelezwa maduka kadhaa yameungua yakiwa na mali zenye thamani kubwa. Tutaendelea kukujuza juhudi za kuudhibiti zimefikia wapi.

Soma Zaidi

Lipumba Amwangukia Maalim Seifu… Amtaka Arudi Ofisini, Wakutane na Kumaliza Tofauti zao

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) anayetambuliwa na msajili wa Vyama Vya Siasa nchini Profesa Ibrahim Lipumba amemtaka Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad kurudi wafanye mazungumzo na kumaliza tofauti. Profesa Lipumba amesema hayo leo wakati akizungumza na waandishi wa habari katika Makao Makuu ya ofisi za Chama Cha Wananchi (CUF) zilizopo Buguruni. Lipumba amemtaka Katibu Mkuu ...

Soma Zaidi

Haya ndio malalamiko yaliyowasilishwa TFF juu ya Usajili hapa Tanzania

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limepokea malalamiko kutoka baadhi ya timu na vituo vya kuibua na kukuza vipaji vya soka zikidai fidia baada ya wachezaji wao kusajiliwa na klabu nyingine msimu wa 2017/18. Jana Agosti 14, 2017 ilikuwa siku ya mwisho kwa timu na vituo vya kuibua na kukuza vipaji kuwasilisha malalamiko yao TFF kuhusu fidia za mafunzo; ...

Soma Zaidi