Mhe. Mwakyembe ashuhudia MV. Ruvuma ikiingizwa ziwa Nyasa kwa majaribio

Mhe. Dkt Harrison Mwakyembe, Waziri wa Mambo ya Katiba na Sheria na Mbunge wa Kyela , ameshudia zoezi la kuingizwa majini kwa Meli mpya ya pili ya mizigo iitwayo MV Ruvuma kwenye bandari ya Itungi, Wilayani Kyela. Tukio hilo la kuiingiza Meli hiyo making limefanyika Machi Mosi . Meli hiyo yenye uwezo wa kubeba mzigo zaidi ya tani 1000 inaungana ...

Soma Zaidi

Kiongozi bora Afrika ashindwa kupatikana

​Tajiri mkubwa na mashuhuri wa biashara ya mawasiliano wa Sudan, Mo Ibrahim ameshindwa kumpata mshindi wa tuzo ya dola milioni 5 ambayo hutolewa kwa kiongozi bora zaidi wa kisiasa barani Afrika, kwa mwaka wa pili mfululizo. Tuzo hiyo inalengo la kuimarisha demokrasia lakini kwa kipindi hiki hakuna kiongozi aliyefikia sifa ya kunyakua tuzo hiyo. Tangu kuzinduliwa mwaka wa 2006 ni ...

Soma Zaidi

Afya ya rais Robert Mugabe yadhoofika

​Rais wa Zimbambwe Robert Mugabe ameenda Singapore kufanya vipimo vya Afya yake, siku chache baada ya sherehe ya kufikisha miaka 93. Mugabe amekua dhaifu zaidi, na sasa anapata shida hata kutembea wakati wa matukio mbalimbali ya kitaifa. Msemaji wa rais huyo alisema kuwa vipimo hivyo ni vya mara kwa mara na Rais anatarajiwa kurejea nchini Zimbabwe wiki ijayo. Mugabe ni ...

Soma Zaidi

Taarifa kwa Umma kuhusu Mpango wa Upigaji Marufuku Uzalishaji, Uingizaji, Usambazaji na Matumizi ya Vifungashio vya Plastiki (VIROBA) vya Pombe kali Nchini

Mtakumbuka tarehe 20 Februari 2017 Ofisi ya Makamu wa Rais ilitoa tamko la Serikali la utaratibu utakaotumika kutekeleza agizo la kusitisha utengenezaji, uuzaji na matumizi ya pombe kali zinazofungashwa kwenye vifungashio vya plastiki (viroba)kuanzia tarehe 1 Machi 2017. Utekelezaji wa katazo hili utazingatia Ibara ya 8(1) (b) na 14, Sheria ya Mazingira ya mwaka 2004 na Kanuni zake zilizotungwa kupitia ...

Soma Zaidi

Kumbe Vicent Bossou haidai Yanga, ila ana msala wa kutoroka

​Katibu mkuu wa klabu ya Yanga Charles Boniface Mkwasa amezungumzia swala la mchezaji Vincent Bossou kuhusu madai yanayosemwa kuwa beki huyo hajalipwa mshahara wake kwa miezi minne. Sasa Mkwasa amekanusha na kusema kuwa hakuna kitu kama hicho. “Bossou haidai Yanga SC mishahara ya miezi minne kama habari zinavyotembea . Cheki za mishahara ya beki huyu kwa siku 10 mwezi wa ...

Soma Zaidi

Ilichokisema mamlaka ya Chakula na Dawa TFDA kuhusu panadol inayodaiwa kuwa na virusi vya ugonjwa hatari

Hivi karibuni kumekuwepo na taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu dawa aina ya P-500® (Paracetamol) inayotengenezwa na Apex Laboratories Private Limited-Tamil Nadu-India kuwa ina virusi aina ya ‘Machupo’ vinavyosababisha ugonjwa wa “Bolivian Hemorrhagic Fever (BHF). Dawa hiyo ni kama inavyoonekana kwenye picha. Sasa mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) imetoa taarifa kwa umma kuhusu ukweli swala lenyewe ulivyo. UFAFANUZI ...

Soma Zaidi

Juuko Murshid ajiunga na Simba tena

Beki wa Kimataifa wa klabu ya Simba na timu ya taifa Uganda Juuko Murshid leo amejiunga na kikosi cha timu hiyo  baada ya kukosekana  kwa zaidi ya miezi miwili. Juu Murshid leo amejiunga na kikosi cha timu hiyo baada ya kukosekana kwa zaidi ya miezi miwili Makamu wa Rais wa Simba, Geofrey Nyange ‘Kaburu’  ameiambia Goal.com, kuwa sasa tayari Murshid ...

Soma Zaidi