Roma Mkatoliki akamatwa na watu wasiojulikana

Msanii Roma Mkatoliki amekamatwa usiku wa kuamkia leo akiwa studio za Tongwe Records jijini Dar es Salaam. Msanii mwenzake Professor Jay ambaye ni mbunge wa jimbo la Mikumi kupitia ukurasa wake wa instagram amesema kuwa “Nimestushwa sana kusikia kuwa kuna watu wamevamia studio za TONGWE RECORDS majira ya saa moja usiku na wamemchukua ROMA @roma2030 , MONI @moni_centrozone na kijana ...

Soma Zaidi

Waziri Mkuu Majaliwa Awakaribisha Wa Israel Kuwekeza Nchini

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewakaribisha wawekezaji kutoka nchini Israel waje nchini kuwekeza kwenye sekta mbalimbali ikiwemo ya  kilimo. Ametoa kauli jana (Jumatano, Aprili 5, 2017) alipokutana na Balozi wa Israel nchini Tanzania, Mheshimiwa Yahel Vilan, Ofisini kwake Bungeni mjini Dodoma. Waziri Mkuu amesema Tanzania na Israel ni nchini ambazo zina uhusiano mzuri kwa muda mrefu, ambapo ameahidi kwamba Serikali itaendelea ...

Soma Zaidi

Bilioni 2 Zahitajika kusambaza gesi majumbani……Serikali yasema mradi utakamilika Julai, yafafanua mipango iliyopo

Bunge limeelezwa kuwa, Wizara ya Nishati na Madini inahitaji Sh2 bilioni kwa ajili ya kusambaza gesi majumbani katika mikoa ya Lindi, Mtwara na Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dk Medard Kalemani alisema jana kuwa, mradi wa usambazaji gesi unaweza kukamilika ifikapo mwezi Julai. Dk Kalemani alitaja kiasi kamili cha gesi kinachohitajika kwenye nyumba za watu katika ...

Soma Zaidi

Azam FC yatinga nusu fainali ASFC kwa kishindo, yaipiga Ndanda 3-1

Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, usiku wa kuamkia leo imetinga nusu fainali ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) kwa kishindo baada ya kuipiga Ndanda mabao 3-1, mchezo uliofanyika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Shujaa wa Azam FC katika mchezo huo alikuwa ni mshambuliaji kinda Shaaban Idd, aliyefunga mabao mawili huku jingine ...

Soma Zaidi

TRA yaliachia basi la TFF saa nne usiku

​Hatimaye TRA yaliachia basi la Taifa Stars, baada ya kulishikiria kwa saa kadhaa jana. Basi hilo lilikatwa barabarani na kampuni ya Yono Auction Mart ambao ni mawakala wa mamlaka hiyo, ambapo wakati huo lilikuwa likitumiwa na Serengeti Boys. Basi hilo lilikuwa njiani kuwapeleka vijana hao kwenda kwa Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu kwa mualiko waliopewa kula chakula cha usiku ...

Soma Zaidi

TRA yakusanya trilioni 10.87 kwa miezi tisa

Mamlaka ya Mapato Tanzania imekusanya kodi ya jumla ya Sh. Trilioni 10.87 katika kipindi cha miezi tisa ya mwaka wa fedha 2016/17 ambapo makusanyo hayo ni sawa na ukuaji wa makusanyo ya asilimia 9.99. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Elimu ya Mlipa Kodi, Richard Kayombo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari, amesema kuwa Mamlaka ya Mapato Tanzania inawashukuru walipakodi wote ...

Soma Zaidi