Nicholas Gian arejea Simba

Baada ya kusajiliwa na kucheza kwenye siku ya Simba Day kisha kurudi Ghana kumalizia utaratibu, Nicholas Gian amewasili rasmi kuitumikia Simba Sc. Nicholas ndiye aliyekuwa mfungaji bora wa ligi  kuu ya Ghana.     

Soma Zaidi

Baraza la usalama la UN laionya Korea Kaskazini

Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limelaani kitendo cha Korea Kaskazini cha kurusha kombora kupitia anga ya Japan, huku nchi hiyo ikithibitisha kutekeleza. Rais wa Korea Kaskazini Kim Jong-un Taarifa iliyoandikwa na Marekani, haikutishia kuiwekea vikwazo vipya Korea kaskazini. Lakini Baraza la Usalama limeitaka Korea Kaskazini kusitisha majaribio zaidi na kusitisha mpango wake wa nuklia. Wanachama 15 wa Baraza ...

Soma Zaidi

Kim Jong-un: Tutarusha makombora zaidi Pacific

Kombora lililorushwa siku ya Jumanne lilipitia juu ya kisiwa cha Japan cha Hokaido na kusababisha hali ya wasiwasi wa kusalama huku raia wakitakiwa kujificha kabla ya kombora hilo kuanguka baharini. Vyombo vya habari vya taifa hilo pia vilirejelea vitisho katika kisiwa cha Marekani cha Guam katika bahari ya Pacific ambacho imesema inamiliki kambi ya uvamizi wa kijeshi wa Marekani. Baraza ...

Soma Zaidi

Oxlade Chamberlain aikataa Chelsea, ataka kwenda Liverpool

Kiungo wa kati wa Arsenal Alex Oxlade Chamberlain amekataa uhamisho wa Chelsea baada ya klabu hiyo kukubali dau la £40m. Oxlade Chamberlain anaamini kwamba Chelsea ilipanga kumtumia kama beki wa kulia huku lengo lake kuu la kutaka kutoka Arsenal likiwa hatua ya kuchezeshwa katikati. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 sasa anataka kuelekea Liverpool. Ombi kutoka Liverpool linatarajiwa kabla ...

Soma Zaidi

Tetesi za soka Ulaya leo

Manchester United wamepewa matumaini na Real Madrid ya kumsajili Gareth Bale, 28. (Marca) Manchester United watampa mkataba mpya beki wa kushoto Luke Shaw, 22, ili kuepuka asiondoke bure mwisho wa mkataba wake. (Sun) Chelsea wanakaribia kumsajili kiungo wa Leicester City Danny Drinkwater, 27, kwa pauni milioni 40 pamoja na Alex Oxlade-Chamberlain, 24 kutoka Arsenal. (Express) Chelsea wanakaribia kumuuza mshambuliaji wake ...

Soma Zaidi