Ilichokisema Simba baada ya viongozi wake kushikiliwa

Klabu ya Simba kwa masikitiko makubwa inaungana na Wanachama na Washabiki wake katika kipindi hiki kigumu, ambacho viongozi wetu wakuu wa Klabu wapo mahabusu kwa tuhuma kadhaa zilizopo ktk Mahakama ya Kisutu. Imesema taarifa kwa umma iliyotolewa Viongozi hao Rais Evans Aveva na Makamu wake Geofrey Nyange Kaburu wamekosa dhamana kwa kuwa mashtaka yao hayadhaminiki kwa mujibu wa sheria za ...

Soma Zaidi

Man U yakamilisha usajili mwingine msimu huu

Manchester United imewashinda majirani zake Manchester City na mabingwa wa ligi ya Serie A Juventus, kwa kufanikiwa kuinasa saini ya kinda wa kifaransa Aliou Badara Traore kwa mujibu ya tovuti ya GOAL. Mchezaji huyo wa timu ya Taifa ya ufaransa U17, alisemekana kuwa alikubaliana masharti ya kibinafsi na mashetani wekundu mapema mwezi huu, kabla ya kusaini mkataba wa miaka minne. ...

Soma Zaidi

CCM Walaani Matamshi ya Lowassa, Waitaka Serikali Imchukulie Hatua

Chama cha Mapinduzi CCM kimelaani kauli za kichochezi na zakidini zilizofanywa na mmoja kati ya mwanasiasa nchini, zenye lengo la kuwafitinisha watanzania. Katibu wa itikadi na uenezi wa chama cha mapinduzi CCM ndugu Humphrey Polepole amebainisha hayo mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, huku akiiomba serikali ikithibitika mtu amekosea serikali isiwe na ajizi kuchukua hatua kwa aina ...

Soma Zaidi

Tetesi za Soka Ulaya

Manchester City sasa wanaongoza katika mbio za kumsajili Alexis Sanchez, 28, baada ya Bayern Munich kujitoa kutokana na bei kubwa ya mchezaji huyo wa Arsenal (Daily Mirror). Manchester City wana uhakika wa kumsajili Alexis Sanchez kwa takriban pauni milioni 50, kwa sababu ya hamu ya mchezaji huyo kufunzwa na Pep Guardiola (Guardian) Chelsea wanakabiliwa na ushindani kutoka Paris St-Germain katika ...

Soma Zaidi

Tambwe nae ndani

Mpachika mabao hatari wa Mabingwa wa soka nchini Dar es Salam Young Africans SC Amisi Tambwe ameungana na nyota mwenzie Donald Ndombo Ngoma kwenye kuongeza mkataba wa kuendelea kuwahudumia machampioni hao. Mbele ya katibu mkuu Charls Mkwasa, Katika ofisi za  klabu zilizoko makutano ya Twiga na Jangwani, Tambwe amesaini mkataba wa miaka miwili, utakao muweka Yanga mpaka mwaka 2019.

Soma Zaidi

Chile yaichapa Ureno penalti 3 bila,  kombe la mabara

Chile imefanikiwa kutinga fainali ya michuano ya kombe la mabara baada ya kuondosha Ureno kwa penalti 3-0. Mlinda mlango wa Manchester City Claudio Bravo alikua shujaa wakati timu yake ya Chile ilipoiondosha Ureno katika hatua ya nusu fainali na kutinga fainali. Bravo aliokoa mikwaju ya penalti iliyopigwa na Ricardo Quaresma, Joao Moutinho na Nani huku Chile wakifanikiwa kupata penalti tatu. ...

Soma Zaidi

CUF kuifikisha kortini wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA)

Chama cha Wananchi (CUF), kinatarajia kumfikisha mahakamani  Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) kwa kukiuka taratibu za sheria ya wadhamini kwa kutojiridhisha juu ya uhalali wa majina ya Bodi ya Wadhamini yaliyofikishwa kwake kama yalipitishwa na kikao halali cha chama kwa mujibu wa katiba. Kauli hiyo ameitoa Katibu  Mkuu wa Chama hicho, Maalim Seif jijini Dar es Salaam leo ...

Soma Zaidi