Rais wa TFF Jamal Malinzi na Katibu Wake Wanyimwa Dhamana na Kurudishwa Rumande

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi na Katibu Mkuu wa shirikisho hilo Selestine Mwesigwa wamenyimwa dhamana kwa kesi inayowakabili, wamerudishwa rumande mpaka Julai 17 mwaka huu shtaka lao litakaposomwa tena. Uamuzi huo umetolewa na Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Kisutu Jijini Dar es Salaam, Wilbard Mashauri baada ya mabishano makali ya kisheria dhidi ya ...

Soma Zaidi

Watu kadhaa wajeruhiwa kwa risasi nje ya msikiti Ufaransa

Watu 8 wamejeruhiwa wkatia wa uftatuajia risias nje ya mskikiti kusini mwa Ufaransa. Waumini waliokuwa wakiondoka kwenye msikiti wa Arrahma, walikaribiwa na washukiwa wawili waliokuwa na bunduki ambao walifyatua risasi kwa umati. Polisi wanasema kuwa hawachukulii kisa hicho kuwa cha kigaidi. Watu wanne walijeruhiwa nje ya mskitini wanne wakiwa wa familia moja. akiwemo msichana ya miaka 7. Wawili kati ya ...

Soma Zaidi

Tanzania yaahidi kuboresha mazingira ya Uwekezaji katika sekta ya viwanda

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewahakikishia wadau wa maendeleo zikiwemo kampuni za biashara za ndani na nje ya nchi kuwa Serikali ya Awamu ya Tano itaendelea kujenga mazingira bora ya uwekezaji nchini na ametoa wito kwao kujitokeza kwa wingi kuwekeza katika viwanda. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ...

Soma Zaidi

Polisi yaua watu wanne wanaodhaniwa kujihusisha na mauaji wilayani Kibiti

Jeshi la Polisi nchini limefanikiwa kuwaua wahalifu wanne wanaosadikiwa kuwa miongoni mwa wahalifu wanaoendesha mauaji katika wilaya za Mkuranga, Kibiti na Rufiji katika mapambano yaliyodumu kwa zaidi ya nusu saa katika kijiji cha Pagae wilayani Kibiti mkoani Pwani. Akielezea tukio hilo Mkuu wa Oparesheni Maalumu za Jeshi la Polisi, Naibu Kamishna wa Polisi Liberatus Sabas alisema tukio hilo lilitokea siku ...

Soma Zaidi