Sanchez anataka kutimka Arsenal

Alexis Sanchez ameiomba Arsenal ikubali kumuuza kwa Manchester City msimu huu kwa kuwa anataka kucheza katika Ligi ya Mabingwa Ulaya, kulingana na vyanzo vya taarifa toka nchini Chile. Sanchez (28) amebakiza mwaka mmoja kwenye mkataba wake pale Emirates na amekataa kuongeza mkataba huku timu hiyo ikiwa nayo haitaki kumuachia. Gazeti moja limeripoti kuwa Man City wametoa ofa ya paundi mil. ...

Soma Zaidi

Stars mshindi wa tatu COSAFA, yaipiga 4 Lesotho

Timu ya taifa ya Soka Taifa Stars imemaliza michuano ya COSAFA Castle Cup 2017 kwenye nafasi ya tatu baada ya kuifunga Lesotho bao 4 – 2 kwa changamoto ya mikwaju ya penati baada ya muda wa kawaida kumalizika timu hizo zikitoka sare tasa. Katika changamoto hizo za penati mlinda mlango wa stars ameweza kuwainua watanzania baada ya kuokoa penati iliyopigwa ...

Soma Zaidi

Serikali yatangaza punguzo kubwa la bei kwenye dawa za tiba mbalimbali kwa binadamu

Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto  Ummy Mwalimu amesema bei za dawa, vifaa tiba na Vitendanishi vya maabara zinazonunuliwa na kusambazwa Boahari ya Dawa (MSD) zimepungua bei kwa asilimia 15 hadi 80 ukilinganisha na mwaka jana kutokana na hatua ya MSD kuanza utaratibu wa kununua moja kwa moja kutoka kwa wazalishaji, kama alivyo agiza Rais Dk.John ...

Soma Zaidi

Trump na Putin wakutana ana kwa ana mara ya kwanza kabisa

Donald Trump na Vladimir Putin wamekutana ana kwa ana kwa mara ya kwanza kabisa, na wakasalimiana kwa mikono huku mkutano wa G20 mjini Hamburg ukuanza. Viongozi hao wa Marekani na Urusi wamesema wanataka kuimarisha uhusiano kati ya nchi hizo mbili ambao uliathiriwa na tuhuma kwamba Urusi iliingilia uchaguzi mkuu wa Marekani. Masuala ya mabadiliko ya tabia nchi na biashara yanatarajiwa ...

Soma Zaidi

Bladley Lowery hatunae tena Duniani

Mshabiki wa timu ya Soka ya Sunderland ambaye pia kwenye maisha yake alikuwa alikuwa akipambana na kansa kwa muda mrefu, Mtoto Bradley Lowery amefariki Dunia. Mtoto huyo wa miaka sita aliweza kuvuta hisia za wengi na kuweza kufanikisha kupatikana kwa zaidi ya Paundi Mil. 1 ili kusaidia wengine wenye tatizo kama lake kuweza kupata matibabu. Katika taarifa kwenye ukurasa wa ...

Soma Zaidi

Tanzania bado iko nyuma kiwango cha soka, Soma hapa

Licha ya kupanda kwa nafasi 25 kwenye viwango vya FIFA kwa soka la wanaume, Tanzania imeendelea kuwa nje ya japo timu mia moja bora baada ya mwezi huu kushika nafasi ya 114 kutoka 139 ya mwezi juni. Kwa mujibu wa takwimu hizo mpya, Uganda ndio inayoongoza kwa Afrika Mashariki baada ya kuwa kwenye nafasi ya 74 na Kenya nafasi ya ...

Soma Zaidi

Lukaku kutua United saa yoyote kuanzia sasa

Manchester United imekubali dili la kumnunua Romelu Lukaku kutoka Everton, kwa dau la pound 75 milioni imeripoti ESPN FC. Taarifa hiyo inasema pia United imesimamisha mazungumzo na Real Madrid juu ya Alvaro Morata baada ya wababe hao wa Hispania kukataa ofa ya kumuuza. Kuna matumaini makubwa ya streka huyo kusaini mapema na kujinga na kikosi cha Man U kinachotaraji kwenda ...

Soma Zaidi

JPM ateua mwingine leo

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amteua Bw. Waziri Kindamba anayeonekana pichani, kuwa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ha Simu Tanzania (TTCL).

Soma Zaidi