Ukweli kuhusu swala la msuva kuondoka Yanga

Kiuongo wa mabingwa wa soka Tanzania bara timu ya Yanga Simon Msuva amethibitisha kuihama klabu hiyo na kutimkia kwenye klabu moja nchini Morocco. Msuva ambaye hivi sasa yupo nchini Rwanda kwa ajili ya mechi ya kutafuta ticket ya kucheza kombe mataifa ya Afrika (CHAN) amesema kuwa kila kitu kuhusu uhamisho wake kimekamilika na akitoka Rwanda atarudi nchini kusubiri ticket ya ...

Soma Zaidi

Morata kutua Chelsea wakati wowote kuanzia sasa

Chelsea wamefikia makubaliano kumnunua mshambuliaji wa Real Madrid Alvaro Morata kwa ada inayoripotiwa kuwa £70m. Mchezaji huyo wa timu ya taifa ya Uhispania sasa anatakiwa kuafikiana masuala yake ya kibinafsi na klabu hiyo na pia achunguzwe hali yake ya kiafya kabla ya kukamilisha uhamisho wake. Morata, 24, atakuwa mchezaji wa nne kununuliwa na mabingwa hao wa Ligi ya Premia majira ...

Soma Zaidi

Tetesi za Soka Ulaya Jumatano Julai 19

Mshambuliaji wa Barcelona Neymar, 25, amekubali dau la Paris Saint-Germain, baada ya klabu hiyo ya Ufaransa kuwa tayari kutoa pauni milioni 195. (Esporte) Makamu wa rais wa Barcelona Jordi Mestre amesisitiza kuwa Neymar hatoondoka Barcelona wakati wowote ule. (Star) Mtaalam wa soka wa Amerika ya kusini Tim Vickery amesema Neymar huenda akaondoka Barcelona ili kuepuka kuwa chini ya kivuli cha ...

Soma Zaidi

Dortmund yafikia muafaka ishu ya Aubameyang kuondoka 

Mshambuliaji wa Borussia Dortmund Pierre-Emerick Aubameyang hatouzwa katika majira haya ya kiangazi na atasalia katika timu yake. Mkurugenzi wa Dortmund Michael Zorc, amethitibisha kuwa mchezaji huyo anayewinda na vilabu vya Paris St-Germain , AC Milan na Chelsea haendi kokote. “Tumeshaamua kwamba Auba atabaki hapa kuendelea kuitumikia timu hii.” Alieleza Mkurugenzi huyo. Aubameyang msimu uliopita aliifungia timu yake jumla ya mabao ...

Soma Zaidi

Magufuli aagiza wauza mafuta wasipofunga EFD wafutiwe leseni

Rais John Magufuli ametoa siku 14 kwa wamiliki wa vituo vyote vya mafuta nchini, kuhakikisha wanaweka na kutumia mashine za kielektroniki za kutolea risiti (EFD) na atakayekiuka agizo hilo atafutiwa leseni ya biashara yake. Rais Magufuli ametoa agizo hilo wakati wa ufunguzi wa barabara ya Kigoma-Biharamulo-Lusahunga yenye urefu wa KM 154 huku akiwataka mawaziri wenye dhamana kuhakikisha wanafuatilia maagizo hayo ...

Soma Zaidi

Simba yasajili beki mbabe toka Azam

Klabu ya Simba leo imemsajili beki Erasto Nyoni kutokea klabu ya Azam FC kuichezea klabu ya Simba kuanzia msimu ujao. Erasto Nyoni amesaini kandarasi ya miaka miwili kukitumikia kikosi cha Simba kuanzia msimu ujao.

Soma Zaidi

Man United kuchuana na Liverpool kumnasa kiungo wa paundi mil. 70

Ripoti za mpira wa miguu toka Uingereza, zinasema kuwa Manchester United ipo kwenye mpango mwingine wa kumsaini nyota anayewaniwa pia na Liverpool ikiwa ni wiki chache tangu ilipoipiku Chelsea kwa kumnasa Lukaku kutoka Everton. Jose Mourinho ameonekana kuwa na nia ya kumleta Old Trafford kiungo wa kati raia wa Guinea Naby Keita. Liverpool ndiyo klabu pekee ambayo imeonekana kutaka kumsajili ...

Soma Zaidi