Hatimaye Morata atua Chelsea

Mabingwa wa ligi kuu nchini England wametangaza rasmi kumnasa mshambuliaji Alvaro Morata toka Real Madrid kwa mkataba wa miaka mi tano. Nyota huyo ambaye akiwa Madrid alitumika kama mchezaji wa akiba, sasa ana uhakika wa namba Stamford Bridge. Morata alisema: ”Ninafurahi kuwa hapa. Ni hisia ya ajabu kuwa sehemu ya klabu hii kubwa. Ninatafuta kufanya kazi kwa bidii, kufunga mara ...

Soma Zaidi

Yaliyojiri leo kwenye Ziara ya Rais mkoani Kigoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 21 Julai, 2017 amezindua ujenzi wa barabara za Kibondo – Nyakanazi na Kidahwe – Kasulu, na amewahakikishia wananchi wa Mkoa wa Kigoma kuwa Serikali ya Awamu ya Tano imejipanga kukamilisha ujenzi wa barabara yote ya Kidahwe – Nyakanazi yenye urefu wa kilometa 310 kama alivyoahidi. Mhe. ...

Soma Zaidi

Kaseke aondoka Yanga

Deus Kaseke amejiunga rasmi na Singida United baada ya kumaliza mkataba wake na Yanga na tayari ameshakwea pipa kuelekea Mwanza ambako timu hiyo imeweka kambi

Soma Zaidi

Zanzibar yavuliwa Uanachama wa CAF

Zanzibar imepokonywa uanachama wake katika Shirikisho la Soka la Afrika (Caf) miezi minne baada ya kukubaliwa kuwa mwanachama. Rais wa Caf Ahmad amesema Zanzibar, ambayo ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, haikufaa kukubaliwa kuwa mwanachama wa 55 wa shirikisho hilo mwezi Machi. “Walipokelewa bila ya kufuatwa kwa sheria za shirikisho ambazo ziko wazi,” amesema Ahmad. “Caf haiwezi kukubalia ...

Soma Zaidi

Waliojenga nyumba mpakani Tanzania na Zambia wapewa miezi mitatu kuzibomoa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa miezi mitatu kwa wananchi wote waliojenga ndani ya eneo la mpaka wa Tanzania na Zambia kubomoa nyumba zao . Pia ameiagiza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuanza kuweka alama za X katika nyumba 252 zilizojengwa ndani ya mpaka huo ili wahusika wazibomoe. Agizo hilo amelitoa leo jioni (Ijumaa, Julai 21, 2017) alipotembelea eneo la ujenzi ...

Soma Zaidi

Simba tizi kwa kwenda mbele Sauz

Kikosi cha Simba leo kimeendelea na mazoezi kikiwa Afrika Kusini ambapo kimeweka kambi kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa kimataifa utakaofanyika siku ya Simba Day pamoja na maandalizi ya msimu ujao wa ligi kuu.

Soma Zaidi

Klopp afunguka kuhusu Coutinho kwenda Barca

Staa Philippe Coutinho anawindwa usiku na mchana na miamba ya soka ya Uhispania, Barcelona. Sasa kocha wa liverpool Jurgen Klopp, klabu anayochezea sasa mchezaji huyo, amevunja ukimya na kuzungumzia kuhusu uhamisho huo. Klopp amesema kuwa hayuko tayari kumuachia kiungo huyo wa kibrazil na atakataa ofa yoyote itakayoletwa na Barca. Mabingwa hao wa zamani wa Ulaya na Hispania wanadaiwa kuweka mezani ...

Soma Zaidi

TCU yatangaza tarehe ya vyuo kuanza kupokea maombi ya Udahili

Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania ( TCU) imeutangazia Umma kuwa kuanzia Julai 22 mwaka huu vyuo vyote vya elimu ya juu hapa nchini vitaanza kupokea maombi ya udahili kwa mwaka wa masomo  2017/2018.  Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume hiyo Prof. Eleuther Mwageni ameyasema hayo jana, Jijini Dar es Salaam alipokuwa akiongea na waandishi wa habari juu ya kuanza rasmi udahili ...

Soma Zaidi

Kombe la Mataifa ya Afrika sasa kuchezwa Juni na Julai

Kombe la mataifa bingwa Afrika 2019 litafanyika mwezi Juni na Julai shirikisho la soka barani Afrika limethibitisha. Mchuano huo huwa unafanyika mnamo mwezi Januari na Februari na kusababisha migogro na vilabu vya Ulaya ambavyo hulazimika kuwatoa wachezaji katikati ya msimu. Kinyang’anyiro hicho cha 2019 kitakachoandaliwa Cameroon kitashirikisha timu 24 badala ya 16. Mabadiliko hayo yalitiwa sahihi na kamati kuu ya ...

Soma Zaidi