Yaliyojiri kwenye ziara ya Rais mkoani Singida leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 25 Julai, 2017 amekamilisha ziara yake ya kikazi ya siku 7 katika Mikoa ya Kagera, Kigoma, Tabora na Singida kwa kufungua barabara ya Itigi – Manyoni Mkoani Singida. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wapili kushoto na Viongozi wengine wa Mkoa ...

Soma Zaidi

Mastaa wengine wa Simba watua Sauz kujiweka fit

Wachezaji waliokuwa kwenye majukumu ya kikosi cha Taifa cha Tanzania ‘Taifa Stars’ tayari wamejiunga na kambi ya Simba nchini Afrika Kusini mchana wa leo.  Miongoni mwa wachezaji hao ni Mbonde, Mzamiru, Kichuya pamoja na John Bocco kama wanavyoonekana kwenye picha wakiwa mazoezini. 

Soma Zaidi

Mbeya City yamnasa nyota wa Ashanti

Mbeya City FC imekamilisha usajili wa Idd Seleman anayeungana na nyota wengine kuunda kikosi cha timu hiyo.  Idd Seleman amewahi kuchezea Ashanti FC na ameshiriki mashindano mbalimbali

Soma Zaidi

Chicharito arudi Uingereza kivingine

West Ham United wanafurahi kuthibitisha kuinasa saini ya mshambuliaji wa wa kimexico Javier Hernandez (Chicharito) kutoka Bayer Leverkusen kwa ada ya £ mil 16. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 wa zamani wa Manchester United na nyota wa Real Madrid amesajiliwa kwa mkataba wa miaka mitatu Jumatatu alasiri, na ataondoka kwenda Ujerumani siku zijazo kukutana na Slaven Bilic na ...

Soma Zaidi

Daktari wa kuongeza maumbile auawa, Brazil

Mwanamke mmoja nchini Brazil ambaye alikuwa akijihusisha na uwekaji wa vifaa vya kukuza maumbile ya kike kinyume cha sheria amekufa katika shambulio lenye viashiria vya ulipizaji kisasi baada ya upasuaji ambao haukuzaa matunda. Silikoni za vidole kama zinavyoonekana. Marcilene Gama amekuwa katika lindi la mzigo wa lawama kutoka kwa wateja wake kutumia mchanganyiko wa madini ya silika kukuza makalio ya ...

Soma Zaidi

Imefahamika, Pogba ndio chanzo cha Lukaku kushawishika kujiunga Man U

Mchezaji mpya wa Manchester United, Romelu Lukaku ameweka wazi jinsi Paul Pogba alivyoshawishi uamuzi wake wa kujiunga na timu hiyo. Kwa mujibu wa Lukaku anasema uwepo wa Pogba umehusika sana kumvutia kwenda Old Trafford kwani ni mchezaji  mwenye thamani ya juu zaidi, na ni kitu kikubwa kucheza naye timu moja na kufanya mambo makubwa. “Kwakweli niliongea mengi na Paul,” alisema ...

Soma Zaidi

Tanzania na Kenya kuondoleana vikwazo vya kibiashara

Mataifa ya Tanzania na Kenya yalifanikiwa kuandaa mkutano ambao utapelekea kuondolewa kwa marufuku ya bidhaa zinazoingia katika mataifa hayo mawili kutoka pande zote mbili. Kituo cha mpakani kati ya Tanzania na Kenya. Waziri wa maswala ya kigeni na ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Augustine Mahiga alitangaza uamuzi huo jijini Nairobi kufuatia majadiliano kati ya rais John Pombe Magufuli wa Tanzania ...

Soma Zaidi

Man City yasajili nyota mwingine

Manchester City imetangaza rasmi kumnasa Benjamin Mendy kutoka kwa mabingwa wa Ligue 1 ya Ufaransa, Monaco. Mendy alianza mpira wa kulipwa na Le Havre, ambapo alicheza michezo zaidi ya 50 ya ligi, kabla ya kujiunga na Marseille mwaka 2013. Mendy 23, ambaye ni mchezaji wa kimataifa wa Ufaransa, amesaini mkataba wa miaka mitano na Man City, na atacheza akiwa kavaa ...

Soma Zaidi