SERIKALI YAFANIKIWA KUKUSANYA ZAIDI YA SHILINGI TRILIONI MOJA MWEZI FEBRUARY

Mapema leo hii, serikali kupitia katibu mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango  Dkt. Servacius Likwelile imesema kuwa, imefanikiwa kukusanya zaidi ya shilingi trilioni moja mwezi huu wa pili. Dkt. Likwelile amesema kuwa kati ya fedha hizo, sekta ya elimu imepewa shilingi bilioni 18.7  kwa ajili ya utekelezaji wa utoaji wa elimu bure kwa wanafunzi wa shule za awali hadi ...

Soma Zaidi

DKT. BESIGYE AKAMATWA TENA

Polisi nchini Uganda wamezingira ofisi za chama cha Forum for Democratic Change (FDC) na kuwakamata watu wanane. Rais wa Chama hicho Meja jenerali Mugisha Muntu, amesema hakuna mtu yeyote anayeruhusiwa kuingia au kutoka kwenye ofisi hizo. Wakati huo huo, Mpeperusha bendera wa chama cha FDC katika mbio za kuwania kiti cha Urais Dkt. Kizza Besigye, amekamatwa na polisi alipokuwa akijaribu ...

Soma Zaidi

ZEC: “HAKUNA ALIYEJITOA UCHAGUZI MKUU”

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Jecha Salim Jecha amesema tume yake bado inahesabu vyama vyote kama washiriki katika uchaguzi wa marudio utakaofanyika 20 Machi. Hii ni licha ya vyama saba vikiongozwa na Chama cha Wananchi (CUF) kutangaza hadharani kwamba vitasusia uchaguzi huo. Bw Jecha amesema vyama hivyo havikufuata utaratibu uliowekwa kisheria katika kujiondoa. Baadhi vimetangaza tu kupitia vyombo ...

Soma Zaidi

YANGA YACHINJA MNYAMA 2 – 0

Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara, Timu ya soka ya Yanga, jioni ya leo Feb. 20 2016, imeweza kumaliza ubishi wa nani zaidi ya mwenzake baada ya kuwafunga watani wao wa jadi Simba SC magoli mawili bila kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar Es Salaam. Yanga iliifunga Simba kupitia wachezaji wake Donald Ngoma kipindi cha kwanza na ...

Soma Zaidi

MUSEVENI ASHINDA TENA KITI CHA URAIS UGANDA

Rais Museveni alipata kura 5,617,503 sawa na asilimia 60.75 ya kura zilizohesabiwa kwa mujibu wa mwenyekiti wa tume hiyo Dkt Badru Kiggundu. Mpinzani wake mkuu Dkt Kizza Besigye alipata kura 3,270,290 ambazo ni sawa na asilimia 35.37%. Museveni ametangazwa mshindi licha ya kwamba kuna vituo ambavyo bado matokeo hayajatangazwa. Dkt Kiggundu amesema matokeo ya vituo hivyo hayawezi kubadilisha mambo. Wakati ...

Soma Zaidi

WAKATI KURA ZIKIENDELEA KUHESABIWA UGANDA, BESIGYE AKAMATWA TENA

Polisi nchini Uganda wamemkamata kiongozi wa upinzani Kizza Besigye akiwa kwenye ofisi za makao makuu ya chama chake baada ya polisi wenye silaha kuzunguuka jengo la ofisi, huku helikopta ikiwamwagia wafuasi wake gesi ya machozi ili kuwatawanya. Akiongea na shirika la habari la associated press, Msemaji wa chama hicho Semunju Nganda alisema polisi wamemkamata mwanasiasa huyo na kwenda naye kusikojulikana. ...

Soma Zaidi

VALENCIA YAUA 6 KWA BUYU YUROPA

Usiku wa kuamkia leo feb 19, klabu ya soka ya Valencia ya nchini Spain ilianza vizuri michuano ya kombe la Yuropa baada ya kuikandamiza bao 6 – 0 timu ya Rapid Wien  kutoka Austria. Karamu ya magoli hapo jana ilianzia dakika ya nne tu ya mechi hiyo, Santi Mina akaandika bao la kwanza. Dakika 6 baadae, Daniel Parejo akarudi tena ...

Soma Zaidi

LIGI YA YUROPA: MAN U INACHEZA USIKU HUU HUKO DENMARK BILA WYNE ROONEY

Kufuatia jeraha la goti alilopata wakati wa mechi ya jumamosi iliyopita dhidi ya Sunderland, Kapteni wa Manchester United Wyne Roney hatokuwepo kwenye kikosi kitakachocheza usiku huu dhidi ya FC Midtjylland ya Demark. Boss wa United Luis Van Gaal alikiambia kituo cha TV cha timu hiyo (MUTV) kuwa Rooney ana tatizo la goti, na ni vigumu kusema kuwa atakaa nje kwa ...

Soma Zaidi