ZUMA NA VIONGOZI WENGINE WAWASILI BUJUMBULA

Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini ameshawasili katika mji mkuu wa Burundi Bujumbura, akiongoza ujumbe wa Umoja wa Afrika ulioamuliwa kuundwa na viongozi wa Umoja huo walipokutana mwishoni mwa mwezi wa kwanza 2016 mjini Addis Ababa Ethiopia. Mbali na rais Zuma, ujumbe huo wa Umoja wa Afrika (AU) utawajumuisha  pamoja marais wa Mauritania Mohammed Ould Abdel Aziz,Macky Sall wa Senegal, Ali Bongo ...

Soma Zaidi

LIGI SOKA DARAJA LA PILI (SDL) KUMALIZIKA WIKIENDI HII

Ligi Daraja la Pili (SDL) inatarajiwa kumalizika wikiendi hii kwa michezo 12 kuchezwa katika makundi ya A, B, C & D katika viwanja mbalimbali nchini, huku kila kundi likitoa timu moja ya juu itakayocheza fainali za kupanda ligi daraja la kwanza msimu ujao. Kesho Ijumaa, michezo mitatu ya kundi C itachezwa katika raundi hiyo ya mwisho, Villa Squad watacheza dhidi ...

Soma Zaidi

ZUMA NA MARAIS WENGINE KUITEMBELEA BURUNDI, KUTAFUTA AMANI

Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini anatarajiwa kuelekea nchini Burundi siku leo Alhamisi kwa mazungumzo yanayolenga kutatua mgogoro wa kisiasa nchini humo. Rais Zuma na viongozi wengine wa muungano wa Afrika (AU) wanaitaka serikali ya Burundi kuanzisha majadiliano na viongozi wa upinzani pamoja na kukubali kupelekwa kwa wanajeshi wa kulinda amani nchini humo. Wakati ugeni huo ukielekea Burundi, Serikali ya ...

Soma Zaidi

VIDEO YA MAN CITY WALIVYO SHINDA UGENINI UEFA

Kwenye UEFA Champions League, kuna habari njema kwa wapenzi wa soka la Uingereza hasa mashabiki wa manchester City. Usiku wa kuamkia Alhamis, Muarjentina Sergio Aguero, David Silva na Yaya Toure waliweza kuzifumania nyavu za Dynamo Kyiv na kuondoka ugenini kwa ushindi mnono wa magoli matatu kwa moja, na hivyo kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kutinga nane bora. Hata hivyo baada ...

Soma Zaidi

AZAM INAIWINDA YANGA KILELENI

Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imezidi kuisogelea Yanga kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Vodacom Tanzania Bara (VPL) baada ya kutoa suluhu dhidi ya Tanzania Prisons kwenye Uwanja wa Sokoine jiini Mbeya jioni ya leo. Matokeo hayo yameifanya Azam FC kufikisha jumla ya pointi 46 sawa na Yanga, lakini imebakia katika nafasi ya pili baada ya ...

Soma Zaidi

PICHA MBALIMBALI ZA YANGA ILIPOWACHAPA MAAFANDE KOMBE LA FA

Timu ya Yanga jumatano ya tarehe 24 February ilipata ushindi mwingine, Safari hii ikiwafunga bao 2 kwa 1 maafande wa timu ya JKT Mlale kwenye mchuano wa kombe la FA. Mchezo huu ulichezwa jijini Dar Es Salaam kwenye uwanja wa Taifa. Katika mchezo wa leo, JKT mlale walianza kupata bao katika dakika ya 22 ya mchezo, kupitia kwa Shabani Mgandila. ...

Soma Zaidi

JPM APOKEA TAARIFA YA MAANDALIZI YA MKUTANO MKUU AFRIKA MASHARIKI

Taarifa kutoka Ikulu jijini Dar Es Salaam, zinasema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt. Richard Sezibera Ikulu Jijini Dar es salaam, ambapo pamoja na mambo mengine Rais Magufuli amepokea taarifa ya maandalizi ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya ...

Soma Zaidi

BODI YA MIKOPO YATOA WITO KWA VYUO NCHINI KUIMARISHA UWEZO WA MAOFISA MIKOPO ILI WATATUE SHIDA ZA WANAFUNZI

Bodi ya mikopo ya wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa utaratibu wa kushughulikia malalamiko ya wanafunzi wanaopata mikopo katika taasisi za elimu ya juu nchini. Kwa mujibu wa utaratibu huo, hatua ya kwanza inayopaswa kuchukuliwa na mwanafunzi yeyote wa taasisi ya elimu ya juu ambaye anaswali au malalamiko, ni kuwasilisha suala lake kwa ofisa anayesimamia dawati la mikopo ambaye ...

Soma Zaidi

UEFA: CHEKI VIDEO YA ARSENAL ILIPOLALA NYUMBANI DHIDI YA BARCELONA, JUVE YAITUNISHIA MISULI BAYERN

Ligi ya Mabingwa Ulaya, usiku wa kuamkia leo february 24 iliendelea kwa miamba minne ya soka kuumana. Moja wapo ya mechi hizo, iliyokuwa ikisubiriwa sana ni ile ya Arsenal waliokuwa nyumbani Emirates kuwakaribisha Barcelona ya Hispania, ambapo hadi mchezo unamalizika, Arsenal ilikuwa imelala kwa mabao mawili bila. Mabao hayo yote yalifungwa kipindi cha pili kupitia mwanasoka bora wa dunia mara ...

Soma Zaidi

BURUNDI SASA SHWARI

Rais wa Jamhuri ya Burundi Mheshimiwa Pierre Nkurunziza amemhakikishia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuwa hali ya Burundi ni shwari na kwamba tangu juzi (Februari 22, 2016) nchi hiyo imepokea ugeni mkubwa wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mheshimiwa Ban Ki-moon na inatarajia kupokea marais watano kutoka nchi za Umoja wa Afrika tarehe 25 ...

Soma Zaidi