24 WAUWAWA WAKITIZAMA MECHI YA MAN U NA ARSENAL, SOMALIA

Shirika la Habari la Uingereza lala BBC linasema, Taarifa za awali zinaeleza kuwa milipuko miwili mikubwa ilitokea, katika mgahawa uliokuwa umejaa mashabiki wa mechi kati ya Manchester United na Arsenal. Miongoni mwa wale waliouawa ni pamoja na afisa wa serikali ya jiji hilo. Mji wa Baidoa ulitekwa na wapiganaji wa Kiislamu wa Al-Shabaab mwaka wa 2008, lakini walitimuliwa mwaka 2012. Mji huo ...

Soma Zaidi

MANCHESTER CITY MABINGWA CAPITAL ONE

Jumapili ya february 28 2016, ndio siku ya mchezo wa fainali ya kombe la ligi nchini uingereza. Fainali hii inahitimisha safari ya jumla ya mechi 93 zilizoanza kuchezwa mnamo tarehe 11/8/2015. Mechi hiyo ambayo ilichezwa katika uwanja wa Wembley jijini London mbele ya mashabiki 86,206 ilimalizika kwa Manchester City kuibuka vinara baada ya kuifunga Liverpool jumla ya mabao 4 – 2. ...

Soma Zaidi

WENGER: “ILIKUWA MECHI NGUMU”

Kocha mkuu wa Arsenal, Arsene wenger ameskitishwa na matokeo ya kufungwa mabao matatu kwa mawili na Manchester United katika mechi iliyochezwa jioni ya leo jumapili kwenye dimba la Old Trafford. Wenger amekiri kuwa mechi ilikuwa ngumu na kwamba amekubali kuwa wamepoteza point tatu muhimu na akaongeza kuwa watapigania kushinda mechi ya jumatano usiku watakapocheza nyumbani dhidi ya Swansea City. Magoli ...

Soma Zaidi

“SWEETY SWEETY” YA CHEGE INABAMBA MPAKA MBELE

Hivi karibuni star kutoka TMK wanaume family, Chege Chigunda alidrop video kali ya ngoma yake ya sweety sweety. Sasa mbali na kazi hiyo kuwa ina kick kwenye tv stations za bongo na Afrika mashariki, Hivi sasa inashika namba moja kwenye top 10 ya SoundCity TV huko Lagos Nigeria. Icheki video kutokea hapa, halafu tupia comment yako.

Soma Zaidi

HUYU NDIYE GIANI INFANTINO: RAIS MPYA WA FIFA MWENYE URAIA WA NCHI MBILI

Ijumaa ya tarehe 26 February mwaka huu huko Zurich Uswis, ndio siku iliyopigwa kura ya kumchagua rais wa Shirikisho la Soka ulimwenguni (FIFA). Uchaguzi huo ulifanyika baada ya rais wa Shirikisho hilo Sepp Blatter kutangaza kujiuzuru mwezi juni mwaka jana, kufuatia kuwa na skendo ya rushwa, hapo ikiwa ni siku nne tu tangu atangazwe mshindi wa kiti cha urais kwa ...

Soma Zaidi

BAADA YA KUPIGA TANO, SASA MAN U KUKIPIGA NA LIVERPOOL EUROPA

Manchester United wataanzia ugenini kukipiga dhidi ya Liverpool kwenye ligi ya Europa, raund ya 16 bora kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa leo ijumaa huko Uswis. Miamba hiyo itachuana kwa mara ya kwanza mnamo tarehe 10 machi mwaka huu na kurudiana tarehe 17. Michezo mingine itakuwa kama inavyoonesha kwenye ratiba hapa chini. RATIBA YA 16 BORA EUROPA *Mzunguuko wa kwanza ni ...

Soma Zaidi