SIMBA IMEIRARUA NDANDA, YAFIKISHA POINT 51 KILELENI

Jioni ya leo kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar Es Salaam, mnyama mkali ambaye hivi karibuni alifanyiwa “Ujangili” na mtani wake wa jadi, amefanikiwa kujiweka vizuri kileleni kwa kufikisha point 51 ikiwa mbele ya Yanga kwa point 1, huku Yanga ikiwa haijacheza mchezo mmoja. Ushindi wa leo, Simba imeupata mgongoni kwa Ndanda ambapo wameifunga  3 – 0. Magoli ya Simba ...

Soma Zaidi

JPM AMEFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA BENKI KUU LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya ziara ya kushitukiza katika Benki Kuu ya Tanzania (BOT), ambapo pamoja na mambo mengine ameiagiza Benki hiyo kusitisha mara moja ulipaji wa malimbikizo ya malipo ambayo tayari yalishaidhinishwa (Ex-Checker) na badala yake yarejeshwe Wizara ya fedha na Mipango kwa ajili ya kufanyiwa uhakiki.Mpaka Rais Magufuli anatoa agizo hilo, ...

Soma Zaidi

RAIS MAGUFULI KUWA MGENI RASMI MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI WA ALAT

Jumuiya ya Tawala za serikali za mitaa tanzania (ALAT) Imetangaza tarehe rasmi ya mkutano wake mkuu wa uchaguzi wa kumpata mwenyekiti wa jumuiya hiyo kuwa utafanyika kuanzia tarehe 7 – 9 mwezi wa nne mjini Dodoma ambapo mgeni rasmi katika ufunguzi wa mkutano huo anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli. Mkutano mkuu ...

Soma Zaidi

REFA ALIYECHEZESHA YANGA NA SIMBA KUCHEZESHA MISRI vs. CAMEROON

Mwamuzi wa kike wa Kimataifa wa Tanzania mwenye beji ya FIFA, Jonesia Rukyaa ameteuliwa kuungana na waamuzi kutoka nchini Kenya kuchezesha mchezo wa kuwania kufuzu kwa Fainali za Kombe la Dunia kwa Wanawake  wenye umri chini ya miaka 17 (WWC-Q 17) mwishoni mwa mwezi huu. Jonesia Rukyaa atakua mwamuzi wa akiba katika mchezo huo kati ya Misri dhidi ya Cameroon ...

Soma Zaidi

LICHA YA SKENDO YA MADAWA, SHARAPOVA BADO ANAVAA NIKE LICHA YA KUFUTIWA MKATABA WA PAUNDI MIL. 50

Staa wa kike kwenye mchezo wa Tennis kutoka nchini Urusi ambaye hivi karibuni alipatikana na hatia ya kutumia madawa ya kuongeza nguvu za misuli alipokuwa kwenye vipimo tayari kwa kushiriki mashindano ya Australian Open, Maria Sharapova ameonekana ni mwenye furaha na kujiamini, tena huku akiwa ametupia viatu vya nike, kampuni ya vifaa vya michezo iliyojiondoa kumdhamini kufuatia kubainika na kosa ...

Soma Zaidi

CHELSEA BYE BYE UEFA

Wakali wa jiji la Paris, na bingwa mtetezi wa ligi kuu ya nchini Ufaransa (League 1), timu ya PSG usiku wa kuamkia leo waliweza kuitupa nje ya michuano ya klabu bingwa ulaya timu ya Chelsea. Katika mchuano huo mkali, PSG iliweza kutamba ugenini kwa kupiga 2 – 1 na kusonga mbele kwa jumla ya mabao 4 – 2, kwani kwenye ...

Soma Zaidi

MAALIM SEIF AMEMSHUKURU JPM KWA UKARIMU WAKE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alimtembelea na kumjulia hali Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mheshimiwa Maalim Seif Shariff Hamad, katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es salaam, ambako anapata mapumziko baada ya kuruhusiwa kutoka hospitali ya Hindu Mandal alikokuwa amelzwa kwa matibabu. Pamoja na kumpa mkono wa pole, Rais Magufuli alimuombea Maalim ...

Soma Zaidi

ZIARA YA RAIS WA VIETNAM NCHINI

Rais wa Jamhuri ya Kisoshalisti ya Vietnam Mheshimiwa Truong Tan Sang ambaye amewasili hapa nchini jana jioni tarehe 08 Machi, 2016 kwa ziara ya kiserikali ya siku nne, amepokelewa rasmi na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Ikulu Jijini Dar es salaam. Katika lango kuu lililopo Mashariki mwa Ikulu, Rais Truong Tan Sang ...

Soma Zaidi

MKOPI WA PRISONS ACHAGULIWA KUWA MCHEZAJI BORA FEBRUARY

Mshambuliaji Mohamed Mkopi wa timu ya Tanzania Prisons amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Februari kwa Ligi Kuu ya Vodacom msimu huu wa 2015/2015. Mkopi katika mwezi huo uliokuwa na raundi nne, alicheza mechi zote nne za timu yake dhidi ya Mbeya City, Yanga, Mwadui na Mgambo Shooting. Alitoa mchango mkubwa kwa timu yake katika mechi hizo ambapo zote ilitoka sare, hivyo ...

Soma Zaidi

MWALIMU AKUTWA NA MIHURI KWA AJIRI YA KUFOJI NYARAKA ZA SERIKALI

Mkuu wa mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo, amemsimamisha  kazi mkuu wa shule ya Buswelu sekondari, makamu mkuu wa shule na mtaaluma wa shule hiyo kwa kosa la kukutwa na mihuri 28 ya maafisa Elimu wa wilaya mbalimbali aliyokuwa anaitumia kufoji nyaraka za serikali. Pia mkuu huyo wa Shule ametuhumiwa kwa kuwatoza faini ya pesa kiasi cha shs. 200,000 wanafunzi wanapofanya makosa mbalimbali hapo shuleni, pia amebainika kula pesa za ...

Soma Zaidi