Uchaguzi Kenya: Upinzani wadai Odinga ndiye mshindi wa urais

Muungano wa upinzani Kenya Alhamisi uliendelea kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais yanayotangazwa na tume hiyo kwenye mtandao wake. Viongozi wa muungano wa National Super Alliance wamesema walikutana na wakuu wa Tume ya Uchaguzi Kenya na kuwasilisha rasmi malalamiko yao kupitia barua. Ajenti mkuu wa upinzani Musalia Mudavadi, ambaye ni naibu waziri mkuu wa zamani, amesema upinzani umepata maelezo zaidi ...

Soma Zaidi

Bodi ya wadhamini Simba yapinga mkutano mahakamani

Bodi ya Wadhamini wa Klabu ya Soka ya Simba imefungua kesi kupinga mkutano mkuu wa klabu hiyo. Mkutano mkuu wa klabu hiyo unatarajiwa kufanyika Jumapili ijayo. Hata hivyo Bodi ya Wadhamini wa klabu hiyo wamefungua kesi hivi punde katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ikiiomba mahakama hiyo izuie kufanyika kwa mkutano huo. Wakili wa bodi hiyo ya wadhamini, Juma Nassoro ...

Soma Zaidi

Wahalifu 13 wauwawa na Polisi Kibiti

Jeshi la Polisi Tanzania limesema wahalifu 13 wameuawa katika majibizano ya risasi katika eneo la Tangibovu lililopo katika kijiji cha Miwaleni Tarafa ya Kibiti mkoani Pwani ambapo polisi wamefanikiwa kukamata bunduki 8, pikipiki 2 na begi la nguo. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa katika ziara mkoa wa Pwani mwezi Juni mwaka huu aliwataka ...

Soma Zaidi

Tetesi za Soka ulaya leo Agosti 10

Meneja wa Manchester United Jose Mourinho anataka kusajili angalau mchezaji mmoja zaidi kabla ya dirisha la usajili kufungwa, huku beki wa kushoto Danny Rose, 27, na winga wa Inter Milan Ivan Perisic wakiendelea kunyatiwa na United. (Manchester Evening News) Jose Mourinho ameitaka Manchester United kupanda dau la pauni milioni 100 kumtaka Gareth Bale wa Real Madrid. (The Sun) Danny Rose ...

Soma Zaidi

Bill Gates aleta mihela Tanzania

Taasisi ya Bill and Mellinda Gates imetenga Dola za Marekani Milioni 350 sawa na takribani Shilingi Bilioni 777.084 za Tanzania kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali katika sekta ya kilimo, afya na mifumo ya kielektroniki ya upatikanaji wa taarifa. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli katika mazungumzo na Mwenyekiti wa  tasisi ya Bill and Melinda ...

Soma Zaidi

Watani wa jadi: Yanga yatangaza kambi ya maandalizi ya pambano

Mabingwa wa soka Tanzania bara Young Africans SC imesema kuwa inakusudia kuweka kambi visiwani Pemba ili kujiandaa na pambano lake dhidi ya Simba SC kuwania ngao ya jamii. Kupitia ukurasa wa twitter wa timu hiyo ya Jangwani, amenukuliwa katibu mkuu wake Charls Boniface Mkwasa akisema “Mara baada ya mchezo dhidi ya Mlandege FC uwanja wa Amani Jumapili, kikosi chetu kitaelekea ...

Soma Zaidi

Tanzania yachemka viwango vya FIFA 

Tanzania imeporomoka kwa nafasi sita kwenye viwango vya soka Duniani ambapo sasa ipo nafasi ya 120 toka 114 iliyokuwepo mwezi wa July. Timu ya Taifa Tanzania (Taifa Stars) Kwenye takwimu za mwezi Agosti zilizotolewa leo, Brazili imerudi juu ya kilele cha viwango vya ubora wa soka vya FIFA baada ya kuwa chini kwa mwezi mmoja, iliposhushwa na mabingwa wa Dunia ...

Soma Zaidi

Mwanariadha wa Botswana Isaac Makwala akimbia peke yake na kufuzu mbio za mita 200

Mwanariadha wa Botswana Isaac Makwala atajiunga na mwanariadha wa Afrika Kusini Wayde van Niekerk, katika kuwania ubingwa wa dunia wa fainali ya mita 200 baada ya kukimbia pekee yake na kufuzu huko London jana. Makwala alikosa kushiriki mbio za siku ya Jumatatu alipozuiwa kushiriki na maafisa, kufuatia mlipuko kwa ugonjwa unaojulikana kama norovirus. Aliruhusiwa kukimbia hiyo jana ambapo alikimbia muda ...

Soma Zaidi

Hii hapa ratiba kamili ya mechi zote za Yanga kuelekea ngao ya Jamii

Kuelekea kufungua pazia la ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara msimu wa 2017/18, Mabingwa wa ligi hiyo Young Africans SC wametoa ratiba ya mechi zao. Mechi hizo ni mbili za kirafiki na moja ni ile ya ngao ya jamii. Picha linaanza Agosti 12 kwa timu hiyo kumenyana na maafande wa Ruvu Shooting Stars mchezo utakaopigwa Dar es Salaam, na siku ...

Soma Zaidi