‘Sub’ za Giroud na Ramsey zaiokoa Arsenal

Magoli mawili ya dakika za majeruhi yaliyofungwa na Olivier Giroud na Aaron Ramsey yameipaisha Arsenal toka kufungwa 3-2 hadi kuibuka na ushindi wa 4-3 kwenye mechi ya ufunguzi wa msimu wa ligi kuu dhidi ya Leicester City. Katika mechi ya leo, Aaron Ramsey na Olivier Giroud wameingia tokea benchi na wamefunga dakika ya 83 na 85 kwa mtiririko huo na ...

Soma Zaidi

Mkutano mkuu Simba SC: Haya hapa maamuzi ya mahakama

Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu imetupilia mbali ombi la bodi ya wadhamini wa klabu ya Simba la kutaka kuzuia mkutano Mkuu wa klabu hiyo uliopangwa kufanyika August 13 mwaka huu.  Hakimu Mkazi amesema haitokua busara kuzuia mkutano huo kwani Agenda za mkutano  hazionyeshi kama kuna agenda ya mabadiliko ya mfumo kama ambavyo wadhamini wanadai. Pia Mahakama imesema sio busara kuzuia ...

Soma Zaidi

Uchaguzi Kenya: Kenyatta atangazwa rasmi kushinda urais

Rais Uhuru Kenyatta ametangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi mkuu uliofanyika Jumanne nchini Kenya, saa chache baada ya upinzani kupinga mpango wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Kenya (IEBC) wa kutangaza mshindi leo. Rais Kenyatta, akihutubu baada ya kutangaza mshindi wa urais amewashukuru wananchi kwa kuwa na imani naye na serikali yake. “Nawaahidi tutaendelea na kazi tuliyoianza. Nawashukuru sana Kenya. Kadhalika, ...

Soma Zaidi

Issue ya ‘Papaa’ Tshishimbi kuja Yanga iko hivi…

Kiungo mkabaji wa Yanga kutoka DRC Congo, Papy Kabamba Tshishimbi anatarajiwa kuwasili nchini leo Ijumaa kwa ajili ya kujiunga na timu hiyo. Tshishimbi hivi karibuni alitua nchini na kusaini mkataba wa miaka miwili ya kuichezea timu hiyo kabla ya kurejea nyumbani kwao kwa ajili ya kumaliza matatizo ya kifamilia. Awali, kiungo huyo alishindwa kujiunga na Yanga kutokana na mkataba wake ...

Soma Zaidi

Maandalizi: Simba kucheza mechi moja kisha kuiwekea kambi Yanga

Klabu ya Soka ya Simba Jumapili hii ya tarehe 13-8-2017,saa kumi alasiri itashuka kwenye Uwanja mkuu wa Taifa hapa jijini kucheza na Klabu ya Mtibwa Sugar ya Morogoro kwenye mchezo wa kirafiki.  Mchezo huo ni muhimu kwa pande zote mbili kujiandaa na Ligi kuu ya Vodacom inayotarajiwa kuanza mwishoni mwa mwezi huu. Simba pia itautumia mchezo huo kuiwinda klabu ya ...

Soma Zaidi

Mbunge Manyoni ashikiliwa na polisi kwa kumgonga ‘denti’

Jeshi la polisi mkoani Singida linamshikilia Mbunge Manyoni(CCM), Daniel Mtuka (51) kwa tuhuma ya kumgonga kwa gari mwanafunzi wa darasa la kwanza Shule ya Msingi Sukamahela, Salome Paschal (10) na kusababisha kifo chake papo hapo. Kamanda wa jeshi la polisi mkoani hapa, debora Magilingimba alisema tukio hilo limetokea jana katika Kijiji cha Sukamahela tarafa ya Kilimatinde Wilaya ya Manyoni.Alisema siku ...

Soma Zaidi

Simba SC yaipa darasa la soka Polisi Dar

Kikosi cha Simba leo kimecheza mchezo mwingine wa kirafiki dhidi ya timu ya Polisi Dar es Salaam ambapo mpira umemalizika kwa Simba kushinda goli 2 – 1. Magoli ya Simba yamefungwa na Laudit Mavugo pamoja na Mwinyi Kazimoto.

Soma Zaidi

Tetesi za usajili Ulaya leo

Arsenal wamempa Alexis Sanchez mkataba mpya na mshahara wa pauni 300,000 kwa wiki na kumfanya mchezaji anayelipwa zaidi katika EPL. (Daily Mail) Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amekiri kuwa “hana uhakika sana” kama ataweza kumshawishi Alexis Sanchez kukubali kusaini mkataba mpya. (SFR) Juventus wanajiandaa kutoa pauni milioni 23 kujaribu kuishawishi Liverpool kumuuza Emre Can. (Gazzetta dello Sport) Juventus nao wameingia ...

Soma Zaidi

Wakala Perisic atembelea Old Trafford kuongea na Mourinho

Habari za mjini zinaeleza kuwa wakala wa Ivan Perisic anatembelea ofisi za Manchester United leo ili kuwasilisha mipango ya Inter Milan kuwa itamuongezea mkataba winga huyo. Kocha wa Manchester United Jose Mourinho alikwisha acha kumfuatilia mchezaji huyo wa kimataifa wa Kroatia, lakini ziara ya wakala wake Old Trafford imetoa matumaini ya mashetani wekundu kuweza kumjumuisha winga huyo kwenye kikosi chao. ...

Soma Zaidi