Issue ya ‘Papaa’ Tshishimbi kuja Yanga iko hivi…

Kiungo mkabaji wa Yanga kutoka DRC Congo, Papy Kabamba Tshishimbi anatarajiwa kuwasili nchini leo Ijumaa kwa ajili ya kujiunga na timu hiyo. Tshishimbi hivi karibuni alitua nchini na kusaini mkataba wa miaka miwili ya kuichezea timu hiyo kabla ya kurejea nyumbani kwao kwa ajili ya kumaliza matatizo ya kifamilia. Awali, kiungo huyo alishindwa kujiunga na Yanga kutokana na mkataba wake ...

Soma Zaidi

Maandalizi: Simba kucheza mechi moja kisha kuiwekea kambi Yanga

Klabu ya Soka ya Simba Jumapili hii ya tarehe 13-8-2017,saa kumi alasiri itashuka kwenye Uwanja mkuu wa Taifa hapa jijini kucheza na Klabu ya Mtibwa Sugar ya Morogoro kwenye mchezo wa kirafiki.  Mchezo huo ni muhimu kwa pande zote mbili kujiandaa na Ligi kuu ya Vodacom inayotarajiwa kuanza mwishoni mwa mwezi huu. Simba pia itautumia mchezo huo kuiwinda klabu ya ...

Soma Zaidi

Mbunge Manyoni ashikiliwa na polisi kwa kumgonga ‘denti’

Jeshi la polisi mkoani Singida linamshikilia Mbunge Manyoni(CCM), Daniel Mtuka (51) kwa tuhuma ya kumgonga kwa gari mwanafunzi wa darasa la kwanza Shule ya Msingi Sukamahela, Salome Paschal (10) na kusababisha kifo chake papo hapo. Kamanda wa jeshi la polisi mkoani hapa, debora Magilingimba alisema tukio hilo limetokea jana katika Kijiji cha Sukamahela tarafa ya Kilimatinde Wilaya ya Manyoni.Alisema siku ...

Soma Zaidi

Simba SC yaipa darasa la soka Polisi Dar

Kikosi cha Simba leo kimecheza mchezo mwingine wa kirafiki dhidi ya timu ya Polisi Dar es Salaam ambapo mpira umemalizika kwa Simba kushinda goli 2 – 1. Magoli ya Simba yamefungwa na Laudit Mavugo pamoja na Mwinyi Kazimoto.

Soma Zaidi

Tetesi za usajili Ulaya leo

Arsenal wamempa Alexis Sanchez mkataba mpya na mshahara wa pauni 300,000 kwa wiki na kumfanya mchezaji anayelipwa zaidi katika EPL. (Daily Mail) Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amekiri kuwa “hana uhakika sana” kama ataweza kumshawishi Alexis Sanchez kukubali kusaini mkataba mpya. (SFR) Juventus wanajiandaa kutoa pauni milioni 23 kujaribu kuishawishi Liverpool kumuuza Emre Can. (Gazzetta dello Sport) Juventus nao wameingia ...

Soma Zaidi

Wakala Perisic atembelea Old Trafford kuongea na Mourinho

Habari za mjini zinaeleza kuwa wakala wa Ivan Perisic anatembelea ofisi za Manchester United leo ili kuwasilisha mipango ya Inter Milan kuwa itamuongezea mkataba winga huyo. Kocha wa Manchester United Jose Mourinho alikwisha acha kumfuatilia mchezaji huyo wa kimataifa wa Kroatia, lakini ziara ya wakala wake Old Trafford imetoa matumaini ya mashetani wekundu kuweza kumjumuisha winga huyo kwenye kikosi chao. ...

Soma Zaidi

Uchaguzi Kenya: Upinzani wadai Odinga ndiye mshindi wa urais

Muungano wa upinzani Kenya Alhamisi uliendelea kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais yanayotangazwa na tume hiyo kwenye mtandao wake. Viongozi wa muungano wa National Super Alliance wamesema walikutana na wakuu wa Tume ya Uchaguzi Kenya na kuwasilisha rasmi malalamiko yao kupitia barua. Ajenti mkuu wa upinzani Musalia Mudavadi, ambaye ni naibu waziri mkuu wa zamani, amesema upinzani umepata maelezo zaidi ...

Soma Zaidi

Bodi ya wadhamini Simba yapinga mkutano mahakamani

Bodi ya Wadhamini wa Klabu ya Soka ya Simba imefungua kesi kupinga mkutano mkuu wa klabu hiyo. Mkutano mkuu wa klabu hiyo unatarajiwa kufanyika Jumapili ijayo. Hata hivyo Bodi ya Wadhamini wa klabu hiyo wamefungua kesi hivi punde katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ikiiomba mahakama hiyo izuie kufanyika kwa mkutano huo. Wakili wa bodi hiyo ya wadhamini, Juma Nassoro ...

Soma Zaidi

Wahalifu 13 wauwawa na Polisi Kibiti

Jeshi la Polisi Tanzania limesema wahalifu 13 wameuawa katika majibizano ya risasi katika eneo la Tangibovu lililopo katika kijiji cha Miwaleni Tarafa ya Kibiti mkoani Pwani ambapo polisi wamefanikiwa kukamata bunduki 8, pikipiki 2 na begi la nguo. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa katika ziara mkoa wa Pwani mwezi Juni mwaka huu aliwataka ...

Soma Zaidi