Tetesi za usajili kwenye soka la Ulaya leo

Mshambuliaji wa Barcelona Neymar, 25, amewaambia wachezaji wenzake, Lionel Messi na Luis Suarez, kuwa atabakia Barca baada ya wawili hao kumshawishi kutojiunga na Paris Saint-Germain kwa uhamisho utakaovunja rekodi ya dunia wa pauni milioni 200. (Sport) Cristiano Ronaldo amemtaka Neymar kutohamia PSG na kusubiri kwenda Manchester United wakati utakapowadia. (Diario Gol) Meneja wa Inter Milan Luciano Spalletti ameionya Manchester United ...

Soma Zaidi

Tundu Lissu Afikishwa Mahakamani

Siku 4 baada ya kukamatwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam na kuwekwa mahabusu,  Rais wa Chama cha Mawakili na Mbunge wa CHADEMA, Tundu Lissu leo July 24, 2017 amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na kesi ya uchochezi. Tundu Lissu alikamatwa July 20, 2017 akiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar ...

Soma Zaidi

Ronaldo awataja anaowahofia kumpiku Ballon d Or

Cristiano Ronaldo amewataja wapinzani wake anaodhani watatoa upinzani mkali kwake kwenye kuwania tuzo ya Ballon d’Or 2017, straika huyo wa Ureno alipendekeza wachezaji wanne ambao wanastahili tuzo hiyo. Mshambuliaji huyo anayekipiga klabu ya Real Madrid anaamini kuwa ushindani wa tuzo hiyo ni kati ya wachezaji wanne, alisema ni Lionel Messi, Neymar, Robert Lewandoski na Gonzalo Higuain kama mpinzani wake mkuu ...

Soma Zaidi

Man U yaifunga Madrid kwa penalt Marekani

Manchester United wameifunga Real Madrid kwa mikwaju ya penalti baada ya kumaliza dakika 90 kwa sare ya goli 1-1. Anthony Martial alitumia juhudi binafsi na kumtengenezea pande Jesse Lingard na kuandika goli la kwanza. Casemiro aliisawazishia Madrid kwa njia ya penalti baada ya mlinzi mpya wa United Victor Lindelof kumuangusha Theo Hernandez katika eneo la hatari. Penalti saba kati ya ...

Soma Zaidi

24 wauwawa kwenye shambulizi la bomu la kujitoa muhanga

Shambulizi la bomu limesababisha karibu vifo vya watu 24 kwenye mji mkuu wa Afghanistan Kabul. Kwa mujibu wa wizara ya mambo ya ndani nchini Afghanistan, takriban watu 42 pia walijeruhiwa wakati wa mlipuko huo. Mshambuliaji wa kujitoa mhanga alijilipua katika eneo lenye washia wengi magharibi mwa mji. Lengo la shambulizi hilo halikutajwa mara moja na hakuna mtu aliyedai kuhusika. Shambulizi ...

Soma Zaidi

Tetesi za soka Ulaya leo

Barcelona wapo tayari kutoa pauni milioni 80 kumtaka Philippe Coutinho, 25, kutoka Liverpool. (Sunday Mirror) Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi, 30, ameiambia klabu yake kumsajili mshambuliaji wa Juventus Paulo Dybala, 23. (Don Balon) Meneja wa Liverpool Jurgen Klopp amesema Coutinho “ametulia” Liverpool baada ya klabu hiyo kuzungumza naye kufuatia hatua ya Barcelona kumtaka. (ESPN FC) Liverpool hatimaye wamefikia makubaliano na ...

Soma Zaidi

Aisee safari ya Neymar kwenda PSG imeiva

Ripoti toka gazeti la Mirror zinaeleza kuwa PSG wapo ukingoni kumnasa supa nyota wa Kibrazil Neymar JR anayekipiga Barcelona ya nchini Hispania. Ni jumatano ijayo ambapo mzigo wa paundi mil. 200 utatolewa kama ada ya kumnunua mfungaji huyo hatari. Neymar amekwisha weka wazi kwa kuwaaga wachezaji wenzake na amewaambia atafurahi kuondoka Camp Nou ili ajiunge PSG. Kwa upande wake meneja ...

Soma Zaidi

Kaseke alipokabidhiwa uzi wa SU FC jana

Hatimaye aliyekuwa mchezaji wa Yanga Deus Kaseke, jana alisaini kandarasi ya miaka miwili kuichezea Singida United. Hivi sasa tayari amewasili mkoani Mwanza kujiunga na kikosi cha timu yake mpya ambacho kimeweka kambi hapo kujiandaa na msimu mpya ambapo ndio kwanza imepanda daraja.

Soma Zaidi