Tetesi za Soka ulaya leo Jumatatu

Chelsea wanafikiria kutaka kumsajili mchezaji anayenyatiwa na Manchester United Ivan Perisic, 28, kutoka Inter Milan. (Mirror) Barcelona wanataka kumsajili kiungo mshambuliaji wa Chelsea Eden Hazard, 26. (Diario Gol) Cezar Azpilicueta, 27, anadhani Chelsea wanahitaji kusajili wachezaji kadhaa zaidi kabla ya dirisha la usajili kufungwa. (Evening Standard) Chelsea wapo tayari kupanda dau la pauni milioni 50 wiki hii kumtaka beki wa ...

Soma Zaidi

Ngao ya Jamii: Simba safari imeiva

Kikosi cha Simba kinatarajia kusafiri jioni ya leo kuelekea visiwani Zanzibar kwa ajili yakuweka kambi kujiandaa na mchezo wa ngao a hisani dhidi ya Watani wa Jadi ‘Yanga’ pamoja na maandalizi kuelekea kuanza kwa ligi kuu Tanzania Bara. 

Soma Zaidi

Nyota wa Arsenal akataa kuongeza mkataba akisubiria kusajiliwa Barca

Nyota wa Arsenal Mesut Ozil anadaiwa kuwa anakataa kusaini mkataba mpya na klabu hiyo wakati akijaribu kuskilizia dili la kuhamia Barcelona. Mchezaji huyo wa Ujerumani yupo kwenye mwaka wake wa mwisho wa mkataba wake na Gunners na atapata ongezeko la mshahara bora ikiwa ni ongezeko toka kwa mshahara wake wa sasa wa £ 140,000 chini ya mkataba wake ujao klabuni ...

Soma Zaidi

Uchaguzi Kenya: Raila Odinga awashauri wafuasi wa upinzani kususia kazi leo

Kinara wa muungano upinzani nchini Kenya Raila Odinga, amewashauri wafuasi wake kususia kazi siku ya Jumatatu kama njia ya kupinga matokeo ya uchaguzi uliofanyika Jumanne iliyopita. Akihutubia wafuasi wake mtaani Kibera, Nairobi kwa mara ya kwanza kabisa tangu kutangazwa matokeo, ambapo Rais Uhuru Kenyatta alitangazwa mshindi, Bw Odinga amedai kuwa serikali ilikiwa imepanga kuwaua wafuasi wa upinzani kabla ya kutangazwa ...

Soma Zaidi

Ronaldo amuiga Messi staili ya kushangilia, mambo yakamtokea puani

Cristiano Ronaldo alitoka benchi na kuingia uwanjani, akafanikiwa kufunga bao lenye mvuto wa kipekee pale timu yake ya Real Madrid ilipoifunga Barca 3 – 1 kwenye mechi ya awamu ya kwanza ya super cup ya hispania kisha akamuiga Messi staili ya ushangiliaji. Hata hivyo, sherehe yake hiyo ilizimika muda mfupi tu, pale alipotolewa nje kwa kadi ya pili ya njano. ...

Soma Zaidi

Mkutano mkuu Simba SC: Taarifa ya kinachoendelea

Mkutano mkuu wa Wanachama wa klabu ya Simba unaendelea hivi sasa katika ukumbi wa kimataifa wa Julius Nyerere International Conference Center Mh. Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Alhaj Adam Mgoi amechaguliwa na mkutano mkuu wa Wanachama wa klabu ya Simba kuwa mdhamini wa klabu baada ya kumwondoa Mzee Kilomoni kwenye nafasi ya udhamini, pia klabu ya Simba imemsimamisha mzee Kilomoni ...

Soma Zaidi

Morocco kuwania uwenyeji wa kombe la Dunia 2026

Shirikisho la Soka la Morocco limetangaza kwamba litawasilisha ombi la kutaka kuwa mwenyekiti wa Kombe la Dunia la 2026. Uwanja wa taifa Morocco mjini Rabatt Siku ya mwisho kwa nchi kuwasilisha nia ya kuwa mwenyeji wa michuano hiyo ni leo Ijumaa, na baadaye Fifa itathibitisha nchi ambazo zimewasilisha maombi. Marekani, Canada na Mexico zilitangaza mwezi Aprili kwamba zitawasilisha ombi la ...

Soma Zaidi