Yaliyojiri

‘Waziri’ Ngeleja ahojiwa na ofisi ya DCI

Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja amehojiwa kwa saa moja katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI), jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Septemba 11. Ngeleja ambaye pia amewahi kuwa Waziri wa Nishati na Madini wa awamu ya nne, aliwasili katika ofisi hiyo saa nne asubuhi akiwa peke yake ambapo alikutana na DCI saa tano na kuondoka saa sita ...

Soma Zaidi

Alichokisema JPM kuhusu tukio la Tundu Lissu kupigwa Risasi

Kufuatia tukio la Mbunge wa Singida Mashariki, ambaye pia ni Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Tundu Lissu kupigwa risasi mchana wa leo ambapo alijeruhiwa vibaya sehemu mbalimbali katika mwili wake, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli  ametuma salamu za pole. Mhe. Tundu Lissu Kupitia akaunti yake ya mtandao wa twitter, Rais Magufuli ameelezea mstuko alioupata ...

Soma Zaidi

Tundu Lissu apigwa risasi na watu wasiojulikana Dodoma

Taarifa zilizotufikia zinasema Mbunge wa Singida Mashariki, ambaye pia ni Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Tundu Lissu amepigwa risasi akiwa Dodoma. Tairi la mbele la gari linalodaiwa kuwa la Tundu Lissu na alama zinazodaiwa kuwa za risasi zilizopigwa kwenye kioo, kama  zinavyoonekana. Aidha mbunge huyo amekimbizwa kwenye hospitali kuu ya mkoa kwa ajili ya huduma ya kwanza na matibabu. Tutaendelea kukujuza kinachoendelea. ...

Soma Zaidi

Njiwa atumika kuingiza dawa za kulevya Gerezani

Polisi nchini Argentina walimpiga risasi njiwa ambaye alitumiwa kusafirisha mihadarati kwenda gereza moja, kwa mujibu wa mamlaka za gereza. Njiwa huyo alionekana akiruka hadi uwanja wa gereza lililo mji wa Santa Rosa. Maafisa waligundua kuwa ndege huyo alikuwa amefungiwa mfuko mdogo kwenye mgongo wake uliokuwa na tembe za madawa ya kulevya. Njia hiyo ya kusafirisha madawa ilikuwa imegunduliwa na ilikuwa ...

Soma Zaidi

Breaking News! Soko la SIDO mbeya linateketea

Taarifa zilizotufikia usiku huu kutoka mkoani Mbeya, zinaeleza kuwa soko la Sido lililopo Mwanjelwa jijini humo linateketea kwa moto. Hadi sasa chanzo cha moto huo hakijafaahamika lakini inaelezwa maduka kadhaa yameungua yakiwa na mali zenye thamani kubwa. Tutaendelea kukujuza juhudi za kuudhibiti zimefikia wapi.

Soma Zaidi

Lipumba Amwangukia Maalim Seifu… Amtaka Arudi Ofisini, Wakutane na Kumaliza Tofauti zao

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) anayetambuliwa na msajili wa Vyama Vya Siasa nchini Profesa Ibrahim Lipumba amemtaka Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad kurudi wafanye mazungumzo na kumaliza tofauti. Profesa Lipumba amesema hayo leo wakati akizungumza na waandishi wa habari katika Makao Makuu ya ofisi za Chama Cha Wananchi (CUF) zilizopo Buguruni. Lipumba amemtaka Katibu Mkuu ...

Soma Zaidi

Polisi aliyemshika Wakili wa Lissu atakiwa fidia ya bilioni moja

Wakili wa Mwanasheria Mkuu wa Chadema na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika, Fatma Karume amefungua kesi ya madai Mahakama Kuu ya Tanzania dhdi ya Inspekta wa Polisi Eugene Mwampondela wa Kituo Kikuu cha Polisi Dar es salaam. Fatma amesema kuwa Inspekta Mwampondela alimshika mkono na kumvuta kwa nguvu hali iliyomsababishia maumivu makali, hivyo anadai alipwe kiasi cha shilingi bilioni ...

Soma Zaidi

Daktari wa kuongeza maumbile auawa, Brazil

Mwanamke mmoja nchini Brazil ambaye alikuwa akijihusisha na uwekaji wa vifaa vya kukuza maumbile ya kike kinyume cha sheria amekufa katika shambulio lenye viashiria vya ulipizaji kisasi baada ya upasuaji ambao haukuzaa matunda. Silikoni za vidole kama zinavyoonekana. Marcilene Gama amekuwa katika lindi la mzigo wa lawama kutoka kwa wateja wake kutumia mchanganyiko wa madini ya silika kukuza makalio ya ...

Soma Zaidi

Tundu Lissu Afikishwa Mahakamani

Siku 4 baada ya kukamatwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam na kuwekwa mahabusu,  Rais wa Chama cha Mawakili na Mbunge wa CHADEMA, Tundu Lissu leo July 24, 2017 amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na kesi ya uchochezi. Tundu Lissu alikamatwa July 20, 2017 akiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar ...

Soma Zaidi