MICHEZO

VIDEO YA MAN CITY WALIVYO SHINDA UGENINI UEFA

Kwenye UEFA Champions League, kuna habari njema kwa wapenzi wa soka la Uingereza hasa mashabiki wa manchester City. Usiku wa kuamkia Alhamis, Muarjentina Sergio Aguero, David Silva na Yaya Toure waliweza kuzifumania nyavu za Dynamo Kyiv na kuondoka ugenini kwa ushindi mnono wa magoli matatu kwa moja, na hivyo kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kutinga nane bora. Hata hivyo baada ...

Soma Zaidi

AZAM INAIWINDA YANGA KILELENI

Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imezidi kuisogelea Yanga kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Vodacom Tanzania Bara (VPL) baada ya kutoa suluhu dhidi ya Tanzania Prisons kwenye Uwanja wa Sokoine jiini Mbeya jioni ya leo. Matokeo hayo yameifanya Azam FC kufikisha jumla ya pointi 46 sawa na Yanga, lakini imebakia katika nafasi ya pili baada ya ...

Soma Zaidi

PICHA MBALIMBALI ZA YANGA ILIPOWACHAPA MAAFANDE KOMBE LA FA

Timu ya Yanga jumatano ya tarehe 24 February ilipata ushindi mwingine, Safari hii ikiwafunga bao 2 kwa 1 maafande wa timu ya JKT Mlale kwenye mchuano wa kombe la FA. Mchezo huu ulichezwa jijini Dar Es Salaam kwenye uwanja wa Taifa. Katika mchezo wa leo, JKT mlale walianza kupata bao katika dakika ya 22 ya mchezo, kupitia kwa Shabani Mgandila. ...

Soma Zaidi

UEFA: CHEKI VIDEO YA ARSENAL ILIPOLALA NYUMBANI DHIDI YA BARCELONA, JUVE YAITUNISHIA MISULI BAYERN

Ligi ya Mabingwa Ulaya, usiku wa kuamkia leo february 24 iliendelea kwa miamba minne ya soka kuumana. Moja wapo ya mechi hizo, iliyokuwa ikisubiriwa sana ni ile ya Arsenal waliokuwa nyumbani Emirates kuwakaribisha Barcelona ya Hispania, ambapo hadi mchezo unamalizika, Arsenal ilikuwa imelala kwa mabao mawili bila. Mabao hayo yote yalifungwa kipindi cha pili kupitia mwanasoka bora wa dunia mara ...

Soma Zaidi

YANGA YACHINJA MNYAMA 2 – 0

Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara, Timu ya soka ya Yanga, jioni ya leo Feb. 20 2016, imeweza kumaliza ubishi wa nani zaidi ya mwenzake baada ya kuwafunga watani wao wa jadi Simba SC magoli mawili bila kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar Es Salaam. Yanga iliifunga Simba kupitia wachezaji wake Donald Ngoma kipindi cha kwanza na ...

Soma Zaidi

VALENCIA YAUA 6 KWA BUYU YUROPA

Usiku wa kuamkia leo feb 19, klabu ya soka ya Valencia ya nchini Spain ilianza vizuri michuano ya kombe la Yuropa baada ya kuikandamiza bao 6 – 0 timu ya Rapid Wien  kutoka Austria. Karamu ya magoli hapo jana ilianzia dakika ya nne tu ya mechi hiyo, Santi Mina akaandika bao la kwanza. Dakika 6 baadae, Daniel Parejo akarudi tena ...

Soma Zaidi

LIGI YA YUROPA: MAN U INACHEZA USIKU HUU HUKO DENMARK BILA WYNE ROONEY

Kufuatia jeraha la goti alilopata wakati wa mechi ya jumamosi iliyopita dhidi ya Sunderland, Kapteni wa Manchester United Wyne Roney hatokuwepo kwenye kikosi kitakachocheza usiku huu dhidi ya FC Midtjylland ya Demark. Boss wa United Luis Van Gaal alikiambia kituo cha TV cha timu hiyo (MUTV) kuwa Rooney ana tatizo la goti, na ni vigumu kusema kuwa atakaa nje kwa ...

Soma Zaidi

CHELSEA YAANZA NA KUPOKEA KICHAPO UEFA CHAMPIONS LEAGUE

Usiku wa kuamkia leo february 17, katika uwanja wa Parc des Princes nchini Ufaansa mabingwa watetezi wa ligi kuu uingereza, timu ya Chelsea walicheza mechi ya kwanza ya raundi ya 16 bora katika ligi ya mabingwa Ulaya dhidi ya PSG na mchezo kumalizika kwa wao kutandikwa 2 – 1, kwa mabao yaliyofungwa na Zlatan Ibrahimovic dakika ya 39 na Edinson ...

Soma Zaidi

HUYU NDIYE STRICKER MKALI ANAYEWANYIMA USINGIZI MAN U

Manchester United wako tayari kuvunja kibubu ili kumnunua sticker mkali Pierre-Emerick Aubameyang na kumfanya mmoja wa nyota ghali katika dunia ya soka. Makamu Mwenyekiti Mtendaji wa United Ed Woodward amesema kuwa mshambuliaji huyo wa Borussia Dortmund mwenye uchu wa magoli, ndiye chaguo lao namba moja kwa sasa wanaetegemea kumnunua kipindi cha majira ya kiangazi. Ameongeza licha ya United kuwa kwenye ...

Soma Zaidi