MICHEZO

Dangote: Nikiinunua Arsenal nitamfuta Wenger

Mfanyabiashara tajiri raia wa Nigeria Aliko Dangote, ambaye anaorodheshwa kuwa mtu tajiri zaidi Afrika, amesema kuwa atamfuta kazi meneja wa Arsenal, Arsene Wenger, ikiwa atafaulu kuinunua klabu hiyo ya Uingereza, kwa mujibu wa shirika la Bloomberg. Aliko Dangote Wakati wa mahojiano na shirika hilo, Bwana Dangote alisema kuwa atajaribu kununua klabu hiyo, wakati ujenzi wa kiwanda chake cha kusafisha mafuta ...

Soma Zaidi

Haya ndio malalamiko yaliyowasilishwa TFF juu ya Usajili hapa Tanzania

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limepokea malalamiko kutoka baadhi ya timu na vituo vya kuibua na kukuza vipaji vya soka zikidai fidia baada ya wachezaji wao kusajiliwa na klabu nyingine msimu wa 2017/18. Jana Agosti 14, 2017 ilikuwa siku ya mwisho kwa timu na vituo vya kuibua na kukuza vipaji kuwasilisha malalamiko yao TFF kuhusu fidia za mafunzo; ...

Soma Zaidi

Taarifa ya mchezo wa Ngao ya Jamii Simba vs Yanga. Vingilio pia vyawekwa hadharani

Maandalizi ya mchezo wa Ngao ya Jamii utakaowakutanisha Mabingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2016/17, Young Africans na Mabingwa wa Kombe la Shirikisho la Azam (Azam Sports Federation Cup), Simba yanakwenda vema. Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), linapenda kuwatangazia umma kuwa viingilio katika mchezo huo vimepangwa katika makundi manne. Sehemu ya VIP ‘A’ tiketi zake ni ...

Soma Zaidi

Simba kuwapa msasa wanachama wake kuhusu mabadiliko kesho

Klabu ya Simba kesho inatarajiwa kufanya Semina kubwa ya Wanachama wote wa klabu hiyo ameeleza mkuu wa habari Haji Manara.  Baadhi ya wanachama wa Simba mkutanoni Semina hiyo inalenga kujenga uelewa mpana zaidi juu ya muundo mpya wa klabu, uliotokana na mabadiliko ya katiba yaliyofanywa na wanachama hao, na kusajiliwa na Msajili wa Vilabu nchini. Maandalizi yote ya Semina hiyo ...

Soma Zaidi

Mkutano mkuu Simba SC: Taarifa ya kinachoendelea

Mkutano mkuu wa Wanachama wa klabu ya Simba unaendelea hivi sasa katika ukumbi wa kimataifa wa Julius Nyerere International Conference Center Mh. Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Alhaj Adam Mgoi amechaguliwa na mkutano mkuu wa Wanachama wa klabu ya Simba kuwa mdhamini wa klabu baada ya kumwondoa Mzee Kilomoni kwenye nafasi ya udhamini, pia klabu ya Simba imemsimamisha mzee Kilomoni ...

Soma Zaidi

Simba kuwapa msasa wanachama wake kuhusu mabadiliko kesho

Klabu ya Simba kesho inatarajiwa kufanya Semina kubwa ya Wanachama wote wa klabu hiyo ameeleza mkuu wa habari Haji Manara.  Baadhi ya wanachama wa Simba mkutanoni Semina hiyo inalenga kujenga uelewa mpana zaidi juu ya muundo mpya wa klabu, uliotokana na mabadiliko ya katiba yaliyofanywa na wanachama hao, na kusajiliwa na Msajili wa Vilabu nchini. Maandalizi yote ya Semina hiyo ...

Soma Zaidi

Diego Costa asema Chelsea wanamchukulia kama ‘mhalifu’

Diego Costa amesema Chelsea wamekuwa wakimchukulia kama “mhalifu” na akathibitisha kwamba bado anataka kurejea Atletico Madrid. Mshambuliaji huyo wa miaka 28 alichezea Chelsea mara ya mwisho fainali ya Kombe la FA mwezi Mei na mwezi Juni alitumiwa ujumbe wa simu na meneja Antonio Conte kumfahamisha kwamba hakuwa kwenye mipango yake ya msimu ulioanza siku chache zilizopita. Costa amesema sasa klabu ...

Soma Zaidi

Tetesi za soka Ulaya Jumanne Agosti 15

Chelsea wanazidi kupata uhakika wa kumsajili kiungo wa Arsenal Alex Oxlade-Chamberlain, 23, kwa pauni milioni 35. (Evening Standard) Chelsea wamempa masharti kadhaa Diego Costa, 28, ambayo lazima ayatimize ili waweze kumuuza. (Guardian) Chelsea wanapanga kutumia pauni milioni 120 kusajili wachezaji watatu, Alex Oxlade-Chamberlain, Virgil Van Dijk na Danny Drinkwater. (The Mirror) Nahodha wa Liverpool Jordan Henderson amesema atajaribu kumshawishi Philippe ...

Soma Zaidi

Ronaldo nje La Liga

Cristiano Ronaldo amesimamishwa kwa michezo mitano kucheza ligi kuu nchini Hispania baada ya kutolewa nje kwa kadi nyekundu hapo jana kwenye mechi ya kwanza ya Super Cup, na kisha kumsukuma refa. Sasa Ronaldo ataukosa mchezo wa marudiano siku ya jumatano. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ureno atakuwa na uwezo wa kucheza katika Ligi ya Mabingwa lakini hataonekana kwenye mechi za ...

Soma Zaidi

Tetesi za Soka ulaya leo Jumatatu

Chelsea wanafikiria kutaka kumsajili mchezaji anayenyatiwa na Manchester United Ivan Perisic, 28, kutoka Inter Milan. (Mirror) Barcelona wanataka kumsajili kiungo mshambuliaji wa Chelsea Eden Hazard, 26. (Diario Gol) Cezar Azpilicueta, 27, anadhani Chelsea wanahitaji kusajili wachezaji kadhaa zaidi kabla ya dirisha la usajili kufungwa. (Evening Standard) Chelsea wapo tayari kupanda dau la pauni milioni 50 wiki hii kumtaka beki wa ...

Soma Zaidi