MICHEZO

Aubameyang huenda akavunja rekodi ya uhamisho

Imejulikana kuwa timu ya Shanghai SIPG inayoshiriki ligi kuu soka nchini China inampango wa kutoa kitita cha Euro Mil. 150 kuinasa saini ya mshambuliji pierre-emerick aubameyang toka Borrusia Dortmund. Matajiri hao pia wanakusudia kumlipa kiasi cha Euro Mil. 41 kwa mwaka ili aweze kushirikiana vema na Oscar aliyenunuliwa toka Chelsea mwishoni mwa mwaka jana.

Soma Zaidi

Salum Mayanga kocha mpya Stars

​Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limemteua Salum Mayanga kuwa kocha wa muda  (Interim coach), wa timu ya taifa ‘Taifa Stars’. Kocha Salum Mayanga anachukua nafasi ya Kocha Charles Boniface Mkwasa ambaye mkataba wake unafikia mwisho mwezi Machi, mwaka huu – 2017. Kati ya majukumu yake yatakuwa ni kuandaa kikosi cha timu ya Taifa kwa ajili ya hatua ya ...

Soma Zaidi

Farid Mussa kutimkia Hispania kesho

Winga wa kushoto wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Farid Mussa, anatarajia kuondoka nchini kesho Jumatano saa 5.00 usiku kuelekea nchini Hispania kujiunga na timu ya Deportivo Tenerife ya huko. Farid anaondoka kujiunga na timu hiyo ya Ligi Daraja la Kwanza Hispania kwa mkopo baada ya taratibu zote kukamilika ikiwemo kupata kibali cha kufanya kazi nchini ...

Soma Zaidi

Ngassa atua Mbeya City

Star wa soka   nchini Mrisho Ngassa aliyekuwa anacheza soka la kulipwa kwenye klabu ya Fanja Fc  huko falme za kiarabu, hatimaye amemwaga wino  kuitumikia Mbeya City fc  akiungana na nyota wengine 9 waliojumishwa kikosini kwenye usajili wa dirisha dogo lililofikia tamati usiku wa jana desemba 15. Kwenye ofisi za City  zilizopo Mkapa Hall, Soko Matola jijini hapa, Ngassa amesaini  kandarasi ...

Soma Zaidi

Hiki ndicho kilichofanywa na Simba katika dirisha dogo la Usajili

Klabu ya Simba imetangaza marekebisho madogo ya usajili iliyoyafanya kutokana na mapendekezo ya benchi la ufundi chini ya kocha Mkuu Joseph Omog. Taarifa iliyotolewa na Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa timu hiyo Haji Manara imeeleza kwenye maboresho hayo klabu imewapandisha wachezaji wawili wa kikosi cha vijana, Beki Vicent Costa na nahodha wa kikosi hicho mshambuliaji Moses Kitandu ...

Soma Zaidi

Infantino amlilia Ismail Mrisho

Rais wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu Ulimwenguni (FIFA), Bw. Gianni Infantino ametuma salamu za rambirambi kwa rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Bw. Jamal Emil Malinzi kutokana na kifo cha ghafla cha Mchezaji. Mchezaji aliyekutwa na mauti ni Ismail Mrisho Khalfan. Aliyefariki dunia baada ya kuanguka uwanjani Desemba 4, 2016 kwenye Uwanja wa Kaitaba, ...

Soma Zaidi

Man City na Chelsea zashtakiwa FA

​Klabu za Manchester City na Chelsea zimeshtakiwa na FA kwa kushindwa kuwadhibiti wachezaji wakati wa mechi ya Ligi ya Premia iliyochezwa Jumamosi. Mashtaka hayo yanatokana na mfarakano wa wachezaji uliozuka dakika ya 95 wakati wa mechi hiyo iliyochezewa Etihad ambapo Chelsea walishinda 3-1. Mshambuliaji wa City Sergio Aguero na kiungo wa kati Fernandinho walifukuzwa uwanjani, lakini kiungo wa kati wa ...

Soma Zaidi

Kun Aguero kukosa mechi nne

​Mshambuliaji wa Manchester City Sergio Aguero amepigwa marufuku kucheza mechi nne baada yake kufukuzwa uwanjani kwa uchezaji mbaya mara ya pili msimu huu. Aguero, 28, alifukuzwa uwanjani kwa kumchezea visivyo beki wa Chelsea David Luiz wakati wa mechi ambayo City walilazwa 3-1 nyumbani Ligi ya Premia siku ya Jumamosi. Mshambuliaji huyo wa Argentina alikuwa ameadhibiwa tena mwezi Agosti alipopewa kadi ...

Soma Zaidi

Mchezaji afia uwanjani Tanzania

​Katika mechi iliyopigwa leo mapema kati ya Mbao Fc na Mwadui united, mechi ya ligi ya wachezaji wenye umri chini ya miaka 20 Mchezaji Ismail Halfan wa Mbao FC amefariki uwanjani baada ya kugongana na beki wa Mwadui. Kabla ya umauti kumfika alikuwa ameifungia timu yake goli la kuongoza.

Soma Zaidi

Green Sports Africa Academy kufanya ziara Azam FC

Kituo cha kukuza vipaji cha Green Sports Academy kutoka jijini Nairobi, Kenya kinatarajia kufanya ziara maalumu kwenye makao makuu ya Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC. Ziara hiyo ya siku sita itakayoambatana na mechi za kirafiki, itaaanza rasmi Desemba 20 jioni watakapowasili nchini hadi Desemba 25 mwaka huu watakaporejea nchini kwao. Green Sports itakuja nchini ikiwa na ...

Soma Zaidi