Michezo Kimataifa

El Classico: Barca yaiua Madrid ndani Santiago Bernabeu

Klabu ya Barcelona imefikia tofauti ya pointi 14 juu ya Real Madrid kwenye ligi kuu ya Hispania La Liga baada ya kuifunga mabao 3-0 kipindi cha pili kwenye pambano la miamba hao wawili maarufu kama el-classico. Madrid wakiwa nyumbani kwao Santiago Bernabeu wamepoteza mbele ya mahasimu wao Barca baada ya kuzidiwa maarifa mnamo kipindi cha pili cha mchezo ambapo mabao ...

Soma Zaidi

Tetesi: Neymar, Madrid mipango ipo hivi…

Gazeti la Kihispaniola OK Diario linaripoti kwamba Real Madrid inasuka mishe za kumnunua Neymar na ili akawe star ambaye Wanaamini anaweza kuchukua nafasi ya Ronaldo. Kiongozi mkuu wa gazeti hilo Eduardo Inda amedai kuwa Real Madrid na Neymar wanasukuma kwa nguvu zote mpango wa kutua Madrid baada ya kumalizika kwa msimu wa kwanza wa Neymar nchini Ufaransa. Eduardo ameongeza kuwa ...

Soma Zaidi

Salah mchezaji bora wa mwaka wa BBC

Mohamed Salah amevikwa taji la mchezaji bora wa mwaka wa BBC kufuatia kandanda safi aliloonesha msimu wa mwisho akiwa AS Roma na alipohamia Liverpool pamoja na timu yake ya taifa la Misri. Mchezajii huyo mwenye umri wa miaka 25, ameweza kumpiku mchezaji wanaekipiga timu moja Sadio Mane, lakini wachezaji wengine akina Victor Moses, Pierre-Emerick Aubameyang na Naby Keita waliokuwa wakiwania ...

Soma Zaidi

Droo ya UEFA 16 Bora, huku Ronaldo kule Neymar

Mabingwa watetezi Real Madrid watakutana na Paris Saint-Germain katika mechi za mzunguuko wa mzunguuko wa 16 bora  ya Ligi ya Mabingwa wakati Chelsea itakuwa na kibarua dhidi ya Barcelona. Manchester United imepangwa dhidi ya Sevilla, Manchester City kucheza na Basel huku Liverpool ni dhidi ya Porto nchini Ureno wakati Tottenham Hotspur wana mtihani mgumu wa kumenyana na vijana kutoka Torino ...

Soma Zaidi

Guardiola aitangaza siku ya kubeba ubingwa 

Kocha wa Manchester City Pep Guardiola ametabiri timu yake itanyakua taji la Ligi Kuu ifikapo Aprili mwakani ikiwa wimbi la ushindi la sasa litaendelea. Jana City iliwapiga mahasimu wao Manchester United 2-1 katika awamu ya kwanza ya Manchester derby kwenye dimba la Old Trafford na sasa wako mbele kwa tofauti ya point 11 kwenye msimamo wa ligi huku Guardiola akitamba ...

Soma Zaidi

Mahakama yamfungia Rooney miaka miawili

Nahodha wa zamani wa kikosi cha England Wayne Rooney amefika mahakamani na kukiri kuendesha gari akiwa mlevi. Alikamatwa wakati polisi walisimamisha gari lake huko Wilmslow, Cheshire tarehe mosi mwezi Septemba. Rooney 31 alipigwa marufuku ya kuendesha gari kwa miaka miwili na kuamrishwa kutoa huduma ya jamii bila malipo kwa masaa 100. Rooney pia aliamrishwa kulipa pauni 170 wakati alifika katika ...

Soma Zaidi

Kocha huyu awa wa kwanza kujiuzuru VPL msimu huu

Uongozi wa Njombe mji FC unapenda kuwaarifu wanafamilia wa soka kuwa Kocha mkuu wao ameandika barua ya kuacha kuifundisha timu hiyo. Kocha huyo ndugu Ahmed Hassan Banyai ameachia ngazi kwa hiari yake siku ya Jumatatu, na barua amekwisha ikabidhi kwa uongozi. Wakati huohuo kocha msaidizi ndudu Mrage Kabange atasimamia timu kwa sasa mpaka hapo uongozi utakavyoamua nani awe kocha mkuu. ...

Soma Zaidi

Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 11.09.2017

Meneja wa zamani wa timu ya taifa ya England Roy Hodgson anapigiwa upatu kuchukua nafasi ya Frank de Boer ambaye amefutwa kazi Crystal Palace baada ya kuwaongoza kwa mechi nne pekee. (Daily Mirror) Sam Allardyce pia anahusishwa na kazi hiyo ya Palace. (Daily Mail) Manchester United wamehifadhi jezi nambari saba kwa ajili ya mshambuliaji Antoine Griezmann, 26, ambaye wanaamini wanaweza ...

Soma Zaidi

Costa kutimkia Fenerbahce?

Klabu ya Fenerbahce ya Uturuki imefanya mazungumzo na wawakilishi wa mshambuliaji wa Chelsea Diego Costa kuhusu uwezekano wa kumchukua kwa mkopo. Costa, 28, amesalia nchini Brazil na amekataa kurejea England. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Uhispania alishindwa kuhama kutoka kwa mabingwa hao wa Ligi ya Premia kabla ya siku ya mwisho ya kuhama wachezaji katika ligi nyingi kuu Ulaya. Hata ...

Soma Zaidi

Oxlade Chamberlain aikataa Chelsea, ataka kwenda Liverpool

Kiungo wa kati wa Arsenal Alex Oxlade Chamberlain amekataa uhamisho wa Chelsea baada ya klabu hiyo kukubali dau la £40m. Oxlade Chamberlain anaamini kwamba Chelsea ilipanga kumtumia kama beki wa kulia huku lengo lake kuu la kutaka kutoka Arsenal likiwa hatua ya kuchezeshwa katikati. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 sasa anataka kuelekea Liverpool. Ombi kutoka Liverpool linatarajiwa kabla ...

Soma Zaidi