HABARI

MUSEVENI ASHINDA TENA KITI CHA URAIS UGANDA

Rais Museveni alipata kura 5,617,503 sawa na asilimia 60.75 ya kura zilizohesabiwa kwa mujibu wa mwenyekiti wa tume hiyo Dkt Badru Kiggundu. Mpinzani wake mkuu Dkt Kizza Besigye alipata kura 3,270,290 ambazo ni sawa na asilimia 35.37%. Museveni ametangazwa mshindi licha ya kwamba kuna vituo ambavyo bado matokeo hayajatangazwa. Dkt Kiggundu amesema matokeo ya vituo hivyo hayawezi kubadilisha mambo. Wakati ...

Soma Zaidi

WAKATI KURA ZIKIENDELEA KUHESABIWA UGANDA, BESIGYE AKAMATWA TENA

Polisi nchini Uganda wamemkamata kiongozi wa upinzani Kizza Besigye akiwa kwenye ofisi za makao makuu ya chama chake baada ya polisi wenye silaha kuzunguuka jengo la ofisi, huku helikopta ikiwamwagia wafuasi wake gesi ya machozi ili kuwatawanya. Akiongea na shirika la habari la associated press, Msemaji wa chama hicho Semunju Nganda alisema polisi wamemkamata mwanasiasa huyo na kwenda naye kusikojulikana. ...

Soma Zaidi

JPM AWASHUKURU WALIOMPIGA TAFU KWENYE KAMPENI, ATANGAZA HABARI NJEMA KWA WASANII

Mchana wa leo, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alikutana na baadhi ya makundi yaliyoshiriki kampeni ya Uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba mwaka jana. Katika mkutano huo uliohudhuriwa pia na Mkewe mama Janeth Magufuli, Makamu wa rais Mama Samia Hasan Suluhu, Waziri mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na baadhi ya mawaziri, Mhe. Rais alitoa hotuba ya shukrani, ...

Soma Zaidi

MATOKEO YA FORM FOUR 2015 YAMETOKA

Baraza la mitiani Tanzania NECTA limetangaza Matokeo ya kidato cha nne mwaka 2015 , ambapo  ufaulu  unaelezwa kushuka  kwa 1.85%  toka  69.75%  mwaka 2014  hadi 67.91%  mwaka  2015. BOFYA HAPA KUSOMA MATOKEO YOTE

Soma Zaidi

UGANDA INAPIGA KURA YA KUMPATA RAIS LEO

Wananchi wa Uganda hii leo february 18 2016 wanapiga kura kumchagua Rais, Wabunge na viongozi wa Serikali za Mitaa. Siku ya Uchaguzi ni siku ya mapumziko ya kitaifa. Katika uchaguzi wa mwaka huu, kiti cha urais kinashindaniwa na wagombea wanane kutoka vyama tofauti vya siasa vitano ambao ni rais Yoweri Museveni kutoka chama cha NRM, Kizza Besigye (FDC), Amama Mbabazi ...

Soma Zaidi

SOMA SABABU YA MHE. UMMY MWALIMU KUKATAA KUTUMBULIWA JIPU NA JPM, KWASABABU YA MADUDU YA WATENDAJI WA MSD

Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Watoto na Wazee Mhe. Ummy Mwalimu amewasimamisha wakurugenzi toka Bohari ya Dawa ya Taifa(MSD) kwa ubadhilifu wa fedha takribani Shillingi Billion 1.5. Ameyasema hayo wakati akizungumza na Waandishi wa Habari katika Kitengo cha Afya ya Mama na Mtoto baada ya kupokea vifaa toka Bohari Kuu ya Dawa ya Taifa (MSD) amesema amepata taarifa ya uchunguzi ...

Soma Zaidi

JPM AFANYA UTEUZI WA MABALOZI, MAKAMISHNA WA POLISI NA KAIMU MKURUGENZI MKUU NIDA

Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Ikulu jana inasema kuwa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa mabalozi watatu katika Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa. Rais Magufuli pia amefanya uteuzi wa makamishna wanne wa Jeshi la Polisi na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya vitambulisho vya ...

Soma Zaidi

SERIKALI KUSAMBAZA MADAKTARI BINGWA MAENEO YA PEMBEZONI IKIWEMO MKOA WA RUVUMA

Kauli hiyo ya serikali imetolewa na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto mjini Songea, Dkt. Hamisi Kigwangalla baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Ruvuma na kituo cha afya cha Mjimwema kilichopo mjini Songea huku akiitaka mikoa ya pembezoni ukiwemo mkoa huo wa Ruvuma kuweka mazingira ya kuwavutia madaktari bingwa ...

Soma Zaidi