HABARI

Acacia “yakataa’ kuilipa serikali $ bil. 180

Serikali ya Tanzania imesema kuwa kampuni ya kuchimba dhahabu yenye makao yake nchini Uingereza Acacia inadaiwa na walipa kodi dola bilioni 180 ,kama malipo ya adhabu na riba, kulingana na taarifa ya kampuni hiyo. Lori lakubebea madini Takwimu hiyo ni kulingana na ufichuzi uliofanywa na tume mbili za rais kuhusu sekta ya uchimbaji madini. Kulingana na mwandishi wa BBC Sammy ...

Soma Zaidi

Yaliyojiri kwenye ziara ya Rais mkoani Singida leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 25 Julai, 2017 amekamilisha ziara yake ya kikazi ya siku 7 katika Mikoa ya Kagera, Kigoma, Tabora na Singida kwa kufungua barabara ya Itigi – Manyoni Mkoani Singida. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wapili kushoto na Viongozi wengine wa Mkoa ...

Soma Zaidi

Daktari wa kuongeza maumbile auawa, Brazil

Mwanamke mmoja nchini Brazil ambaye alikuwa akijihusisha na uwekaji wa vifaa vya kukuza maumbile ya kike kinyume cha sheria amekufa katika shambulio lenye viashiria vya ulipizaji kisasi baada ya upasuaji ambao haukuzaa matunda. Silikoni za vidole kama zinavyoonekana. Marcilene Gama amekuwa katika lindi la mzigo wa lawama kutoka kwa wateja wake kutumia mchanganyiko wa madini ya silika kukuza makalio ya ...

Soma Zaidi

Tanzania na Kenya kuondoleana vikwazo vya kibiashara

Mataifa ya Tanzania na Kenya yalifanikiwa kuandaa mkutano ambao utapelekea kuondolewa kwa marufuku ya bidhaa zinazoingia katika mataifa hayo mawili kutoka pande zote mbili. Kituo cha mpakani kati ya Tanzania na Kenya. Waziri wa maswala ya kigeni na ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Augustine Mahiga alitangaza uamuzi huo jijini Nairobi kufuatia majadiliano kati ya rais John Pombe Magufuli wa Tanzania ...

Soma Zaidi

Tundu Lissu Afikishwa Mahakamani

Siku 4 baada ya kukamatwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam na kuwekwa mahabusu,  Rais wa Chama cha Mawakili na Mbunge wa CHADEMA, Tundu Lissu leo July 24, 2017 amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na kesi ya uchochezi. Tundu Lissu alikamatwa July 20, 2017 akiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar ...

Soma Zaidi

24 wauwawa kwenye shambulizi la bomu la kujitoa muhanga

Shambulizi la bomu limesababisha karibu vifo vya watu 24 kwenye mji mkuu wa Afghanistan Kabul. Kwa mujibu wa wizara ya mambo ya ndani nchini Afghanistan, takriban watu 42 pia walijeruhiwa wakati wa mlipuko huo. Mshambuliaji wa kujitoa mhanga alijilipua katika eneo lenye washia wengi magharibi mwa mji. Lengo la shambulizi hilo halikutajwa mara moja na hakuna mtu aliyedai kuhusika. Shambulizi ...

Soma Zaidi