BURUDANI

BRAND NEW VIDEO: SAUTI SOL FT. ALI KIBA “UNCONDITIONALLY BAE”

Mastaa wa wimbo na “Nerea” na “Sura Yako” Kundi la Sauti Sol kutoka Kenya wameachia video ya wimbo wao mpya unaoitwa Unconditionally Bae, Safari hii wakimshirikisha staa mkubwa kutoka hapahapa kwetu Tanzania, Ali Kiba. Wimbo huo unaozungumzia love, umefanywa video na Justin Campos, yule producer na director wa ngoma nyingi kali hapa bongo ikiwemo Sweety Sweety ya Chege mwenye makazi yake ...

Soma Zaidi

AMBER ROSE ANA BAE MUPYA

Mtaraka wa rapa Wiz Khalifa, ambaye pia ni model kutoka US mwanadada Amber Rose ameonekana akiwa na Star wa timu ya kikapu wa timu ya Toronto Raptors, wa kuitwaga Terrence Ross. Siku chache zilizopita Amber alitabiiwa na mtangazaji mmoja kuwa kidate chake kipya kitakuwa na jina linaloanzia na herufi “T” na katika tweet aloipost mdada huyo leo kulikuwa na maneno ...

Soma Zaidi

SHIRIKISHO LA FILAMU LAIPONGEZA SERIKALI

Shirikisho la filamu Tanzania, na Chama cha wasambazaji wa Filamu Tanzania kwa pamoja wametoa tamko la kuiunga mkono Serikali katika kupambana na Uharamia wa katika sekta ya filamu Tanzania. Akiongea na waandishi wa Habari jijini leo, Rais wa Shirikisho la filamu Tanzania, Saimon Mwakifamba alisema, Umefika wakati sasa wa maharamia hao kubanwa ili wasiendeshe biashara ambayo inawadhulumu wadau wa filamu ...

Soma Zaidi

“SWEETY SWEETY” YA CHEGE INABAMBA MPAKA MBELE

Hivi karibuni star kutoka TMK wanaume family, Chege Chigunda alidrop video kali ya ngoma yake ya sweety sweety. Sasa mbali na kazi hiyo kuwa ina kick kwenye tv stations za bongo na Afrika mashariki, Hivi sasa inashika namba moja kwenye top 10 ya SoundCity TV huko Lagos Nigeria. Icheki video kutokea hapa, halafu tupia comment yako.

Soma Zaidi

MASKINI WEMA NA IDRIS

Mastaa hot bongo, Wema Isack Sepetu na baby wake Idris Sultan ambao hivi karibuni waliweka wazi kuwa wanatarajia kuwa wazazi, kufuatia Bi Wema kunasa uja uzito, hivi sasa wapo kwenye majonzi wakiomboleza kuupoteza ujauzito huo. Stori kibao ziliibuka siku za karibuni na kusambaa kwenye social medias zikisema kwamba “mimba ya wema imetoka” na watu wakawa wakitoa maoni mbalimbali (positive na ...

Soma Zaidi

R.I.P Joni Woka

Msanii wa long time kwenye mziki wa Bongo fleva Joni Woka amefariki dunia jana jioni kwenye wodi ya kulaza wagonjwa mahututi (ICU) katika hospitali ya taifa ya Muhimbili. Akielezea issue nzima ya sababu ya kifo hicho, Msanii mwenzake Ras Lion amesema Joni woka aligongwa na chuma kilicho fyatuka kutoka kwenye gari alilokuwa akilitengeneza siku ya tarehe 13 february. Anaendelea kusema, ...

Soma Zaidi