BURUDANI

VIDEO: NAMJUA YA SHETTA

Amerudi tena Shetta a.k.a Babaake Qayla, Safari hii anatupa burudani ya mambo ya mapenzi akimsifia mtoto mzuri…  Hii ni kwenye wimbo NAMJUA. Video imefanyika South. Tizama mapinduzi mengine katika kuupeleka mbele muziki wa kizazi kipya.  

Soma Zaidi

CHURA WA SNURA WAPIGWA STOP!

Ule wimbo uliojipatia umaarufu mkubwa hivi karibuni, wa Mwanadada Snura Mushi unaoitwa “Chura”, Hatimaye umefungiwa na Serikali. Katika taaifa yake kwa vyombo vya habari, Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imesema kuwa imeamua kusitisha wimbo huo kuchezwa kwenye vyombo vya habari kuanzia leo Mei 4 mpaka pale msanii huyo atakapoifanyia marekebisho video yake. Aidha wizara imeongeza kuwa, usitishwaji huo ...

Soma Zaidi

GIGGS AMWAGANA NA MKEWE

Ndoa ya mchezaji wa zamani na kocha msaidizi wa sasa wa timu ya Manchester United Ryan Giggs imeripotiwa kuvunjika baada ya mkewe kubaini Mumewe anachepuka na muhudumu wa mgahawa anaoumiliki Giggs mwenyewe. Stacey Cooke 37, ambaye ni mke wa mwanasoka huyo, ameshindwa kuvumilia kitendo hicho cha mumewe na hivyo kufungasha vilago, vyanzo imeripoti huku Giggs mwenyewe akiskika kuwaeleza watu wake ...

Soma Zaidi

R.I.P PAPA WEMBA

Mwanamuziki mkongwe kutoka nchini Congo Papa Wemba amefariki duniani Baada ya kuanguka jukwaani akiwa anafanya show jijini Abidjan Ivory Coast. Papa Wemba (66) ambaye jina lake halisi ni Jules Shungu Webadio alilipotiwa kuwa ameaga dunia baada ya kuwa staa kwa takribani miaka 40. Ndugu wasomaji wetu, mnaweza pia kupata habari zetu kwenye mitandao ya Kijamii, kwa ku Like au kutu ...

Soma Zaidi

KENYATA AMU UNFOLLOW KIKWETE TWITER

Rais Uhuru Kenyata wa Kenya amepunguza idadi ya watu anaowafollow kwenye account yake ya mtandao wa kijamii wa twitter ambapo miongoni mwa watu alio wa unfollow ni pamoja na rais wa zamani wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete. Rais Kenyata ambaye ni kati ya marais wa Afrika wenye umaarufu mkubwa kwenye mtandao huo wa kijamii, amepunguza idadi kubwa ya watu ...

Soma Zaidi

LIL WAYNE AISHTAKI MAHAKAMANI UNIVERSAL MUSIC GROUP

Rapa Lil Wayne ameipeleka mahakamani kampuni ya Universal Music Group kwa kuitaka kampuni hiyo imlipe mamilioni ya dola kutokata na kazi anazofanya na Nicki Minaj, Drake na Tyga. Kwa mujibu wa taarifa kutoka nchini marekani, Lil Wayne ameishtaki kampuni hiyo kwenye mahakama moja huko California akilalamika kuwa haikumlipa stahili zake za kugundua vipaji vya wasanii hao na kuvikuza, Hivyo anahitaji ...

Soma Zaidi

VIDEO: VANESSA MDEE – NIROGE

Huyu ni miongoni mwa wasanii wa kike bongo, ambaye yupo serious, hafanyi fanyi bali ana fanya kazi. Ameachia video nyingine kali ya wimbo wa Niroge. Audio ilitayarishwa na producer Nahreal halafu Video ya Justin Campos. Itizame

Soma Zaidi

KANYE WEST AUZA NGUO ZA ZAIDI TSH. BILIONI MBILI NDANI YA SIKU MBILI

Rapa tajiri duniani, Kanye West ametangaza kuwa ameweza kuuza nguo zenye thamani ya dola za kimarekani Milioni moja, fedha ambayo ni sawa na shilingi bilioni 2.1 za kitanzania ndani ya siku mbili za mwanzo wa mauzo kwenye duka moja jijini New York. West (38) alitweet mnamo march 22 kwenye akaunti yake ya twiter akijigamba kuwa haijawahi kutokea brand nyingine ya ...

Soma Zaidi

SOMA KILICHOMKUTA MANNY PACQUIAO HUKO MAREKANI

Bondia maarufu duniani raia wa Ufilipino Manny Pacquiao amezuiliwa kuingia kwenye shopping mall ya The Grove huko Los Angeles Marekani kwa kauli zake za kupinga Ushoga. Mmiliki wa Mall hiyo Rick Caruso alikaririwa akitoa uamuzi huo akisema kuwa watu wanaojihusisha na ushoga ni kati ya idadi kubwa ya wateja wa kila siku mahali hapo hivyo hawatojiskia vizuri kumuona mtu anayewachukia, ...

Soma Zaidi

PREZZO AWEKA HADHARANI MAJIBU YA VIPIMO VYAKE VYA HIV

Msanii kutoka Kenya Jackson Ngechu a.k.a Prezzo jana aliamua kuweka hadharani majibu yake ya vipimo vya H.I.V na kumshkuru mungu kwa majibu aliyoyapata. Kwenye post yake ya Instagram, Prezzo pia alikumbusha wengine wapime hali zao. Hatua hiyo ya Prezzo inahisiwa kuwa ni katika kuwafunga midomo miongoni mwa watu wanaodai kuna walakini kwenye Afya yake hali inayomfanya apungue mwili.

Soma Zaidi