BURUDANI

Unasubiri Game Of Thrones Season 7? Soma majanga yake hapa

Habari mbaya kwa mashabiki wa series hasa wale wanaofauatili ile ya Game of Thrones, ambapo watayarishaji wake wamesema msimu wa saba utachelewa kidogo, kutokana sababu mbalimbali. Kwa mujibu wa waandaaji wenyewe Benioff na Weiss wamesema hawana uhakika wa siku gani itaenda hewani kwa sasa, na wemeeleza sababu kuwa msimu wa sita umeishia kipindi cha kipupwe ambapo hali hiyo ndiyo hasa ...

Soma Zaidi

‘IMANI’ ya Linah kwenye Video

Kwenye bongo fleva, kunazidi kunoga kwa kila kukicha wasanii wanazidi kuachia kazi mpya na kali, kama ilivyo hii hapa ya mwanadada Linah ambayo ameipa jina la ‘IMANI’. Wimbo huu unamaudhui yanayolenga kuwakumbusha watu kuridhika na kile walichoweza kuwa nacho, “Mungu baba anatenda haki, akikupa, akikunyima sema alhamdulilah….” Hayo ni machache tu yaliyonukuliwa kutoka kwa Linah, akiimba humo ndani. Unaweza nawewe ...

Soma Zaidi

Yemi Alade na Sauti Sol kwenye Video Mpya – ‘AFRICA’

Mwanadada star kutoka Nigeria ambaye kwa sasa anatamba na Album yake ya Mama Africa, Yemi Alade leo amedondosha video ya ‘hit’ mpya inayoitwa Africa aliyowashirikisha mastaa wengine kutoka Kenya, Sauti Sol. Video inazungumza mambo mengi kuhusu uzuri wa bara la Afrika. Audio imetayarishwa na BeatsByEmzo huku video imeandaliwa na Ovie Etseyatse. Mandhari ya video yamechukuliwa katika nchi za Kenya, Nigeria, ...

Soma Zaidi

Brand New Video: MATATIZO – Harmonize

Kutoka WCB Wasafi, kazi mpya kutoka kwa Star wa ngoma za ‘Aiyola’ na ‘Bado’ Harmonize ameachia ngoma mpya Inaitwa #Matatizo audio imefanyika Wasafi Records chini producer Lizer na video ni kazi ya Director Pablo. Unaweza kuiona nawewe kutokea hapa.

Soma Zaidi

DIAMOND ANAKUJA NA P SQUARE

Rais wa WCB Wasafi Diamond Platnumz amesema kuwa mashabiki wake wakae tayari kwa ‘Hit’ kali anayotarajia kuiachia hivi karibuni akiwashirikisha wasanii wa kundi la P Square kutoka Nigeria. Ngoma hiyo ambayo mwenyewe hajafunguka lini inatoka na itaitwa jina gani, inaacha matumbo joto kwa mashabiki wake na wapenzi wa Bongo Fleva wanaomfuatilia kwa karibu wakingoja kila kona ya mitandao ya kijamii ...

Soma Zaidi

IGGY AZALEA NA NICK YOUNG WAMWAGANA

Rapa Iggy Azalea na mpenzi wake ambaye ni mcheza kikapu Nick Young wameachana baada ya ‘kudate’ kwa zaid ya miaka mitatu. Wawili hao wamefikia hatua hiyo baada ya muda mrefu wa kuwa kwenye malumbano yanayohusu kutokuwepo kwa uaminifu. “Ingawa nampenda Nick, na mara kadhaa nimejaribu kujenga uaminifu kwake, kwakweli katika siku za usoni nimeshindwa. Namtakia kila la kheri Nick. Haijawahi ...

Soma Zaidi

PRODUCER OJB JEZREEL

Kutoka nchini Nigeria zimetufikia taarifa kuwa producer mahiri wa mziki wa Naija, OJB Jezreel amefariki dunia saa chache zilizopita Kwa mujibu wa taarifa tulizopata, Producer huyo amepatwa na umauti kufuatia figo kushindwa kufanya kazi. Historia inakumbusha kuwa mke wa kwanza wa marehemu OJB Jezreel alijitolea figo yake kumpa mumewe, ambapo jamaa alifanyiwa operesheni ya kuwekewa figo hiyo na kufanikiwa. Operesheni ...

Soma Zaidi

CALVIN HARRIS AMEPATA AJALI MBAYA YA GARI

Mwanamuziki Star wa nchini marekani Calvin Harris jana jioni alipata ajali mbaya baada ya gari alilokuwa amepanda kugongwa na gari jingine, na kumsababishia majeraha sehemu za usoni. AIdha taarifa zinasema mwanamuziki huyo aliwahishwa kwa gari la wagonjwa kwenye hospitali jijini Los Angeles na kupatiwa matibabu, hata hivyo alitakiwa kuendelea kubaki hospitali kwa uchunguzi zaidi. Calvin alipata ajali hiyo alipokuwa akielekea ...

Soma Zaidi