BURUDANI

​Hatimaye Kevin Hart afunga pingu za maisha

Muigizaji nyota wa Comedy toka Marekani Kevin Hart hatimaye amefunga ndoa na mwanadada Eniko Parrish jana jioni. Muigizaji huyo alimvalisha pete ya uchumba mrembo Eniko mwezi wa 8 mwaka 2014 na jana ametimiza ahadi katika sherehe iliyofanyika Santa Barbara California. Harusi ya wawili hao ilishuhudiwa na watu wapatao 200 idadi iliyojumuisha  marafiki wa karibu na  wanafamilia huku mpambe wa bwana ...

Soma Zaidi

Jaji ataka rapa Tyga akamatwe

Jaji wa Mahakama moja nchini Marekani ameagiza rapa Tyga akamatwe baada ya jana Jumanne kutofika mahakamani kwenye kesi ya madai inayomkabili dhidi ya mwenye nyumba wake wa zamani. Tyga ambaye hivi karibuni alikamatia vichwa vya habari baada ya kumnunulia zawadi ya birthday mpenzi wake Kylie Jenner gari la kifahari aina ya Mercedes Maybach, inaelezwa kuwa anadaiwa dola 480,285 kiasi ambacho ...

Soma Zaidi

​Megan Fox apata mtoto wa kiume

Star wa Teenage Mutant Ninja Turtles Megan Fox kutoka nchini Marekani hivi sasa ana mtoto wa kiume aliyempata Agost 4 mwaka huu na kumpa jina la Journey River Green. Kwa Megan Fox (30), Huyu ni mtoto wake wa tatu akitanguliwa na nduguze wawili wa kiume Noah na Bodhi watoto aliowapata pamoja na Mumewe Brian Austin Green. Megan hakuweka wazi kwamba ...

Soma Zaidi

VIDEO Mpyaaaa!!!! Hii Hapa Chege ft. Diamond – Waache Waoane

Hawa hapa mastaa wawili wa muziki wa kizazi kipya Tanzania, Chege na Diamond katika wimbo mpya unaoitwa ‘Waache Waoane’. Wimbo unazungumzia malavidavi, jamaa akisikitika mpenzi wake kuolewa na jamaa mwingine. lakini hawezi kuzuia kwa sababu ilishapangwa na mungu wao waowane na sio yeye. Tizama video hiyo ilitayarishwa na director Justin Campos huku audio imeandaliwa na Laizer wa Wasafi Records.

Soma Zaidi

VIDEO: Wanandoto Kala Jeremiah ft. Miriam Chirwa

HipHop hits maker Kala Jeremia amekuja na video ya kazi yake mpya ambayo safari hii amezungumzia watoto yatima. Video ya wimbo huu imetayarishwa nae director Pablo na kamshirikisha msanii mchanga Miriam Chirwa. Kikubwa alichokilenga Kala ni kuikumbusha jamii juu ya maisha wanayoishi watoto yatima, ambapo ‘future’ yao inashindwa kuwa sawa na watoto wengine kutokana na kukosa matunzo na huduma zitakazowafanya ...

Soma Zaidi

​P Square waungana tena

Taarifa kutoka nchini Nigeria zinasema kuwa wasanii wanaounda kundi la muziki la P Square wameungana kwa mara nyingine tena kwa kile kinachoaminika kuwa wamemaliza tofauti zao. Paul Okoye ambaye ni pacha wa Peter, amesema kuwa wamerejesha kundi lao baada ya Peter kuomba msamaha kwa yaliyotokea kupitia Instagram siku chache zilizopita. My dear fans, P-Square is back. Ours is a journey ...

Soma Zaidi

VIDEO MPYA: KIDOGO – Diamond Platnums ft. P Square

Hapa kuna kazi mpya kutoka kwa msanii mashuhuri Diamond Platinumz inaiyoitwa Kidogo aliyowashirikisha mapacha wawili kutoka Nigeria P Square. Kidogo ni wimbo ulioandikwa kwa ushirikiano kati ya Diamond mwenyewe na P Square na kurekodiwa Square records hukohuko Nigeria. Maproducer wengine kadhaa wamehusika kutia mikono yao humo ndani, akiwemo Shirko aliyetengeneza mdundo, pamoja na Laizer toka wasafi records huku Video ikiwa ...

Soma Zaidi

Kilichompata Lil Wayne na kushindwa kufanya Show

Imeelezwa kuwa rapa Lil Wayne bado anasumbuliwa na ugonjwa wa kukakamaa misuli unaosababishwa na matatizo yaliyopo kwenye ubongo wake, hata kulazimika asitishe ratiba ya kufanya show. Muda mfupi kabla ya kupiga show kwenye club moja huko Las Vegas Julai 6 mwaka huu, jamaa alirudiwa tena na ugonjwa huo jambo ambalo lilifanya ashindwe kwenda ku ‘perfom’. Tatizo hilo linamtokea rapa Lil ...

Soma Zaidi