BURUDANI

Mwana FA na AY Waendelea Kutamba Mahakamani

Wasanii wakongwe wa Bongo Flava, Ambwene ‘AY’ Yesaya na Hamisi ‘Mwana FA’ Mwinjuma wameendelea kupeta mahakamani wakitarajiwa kulipwa kiasi cha shilingi bilioni 2.1 na kampuni ya Mic Tanzania Limited. Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali maombi ya Kampuni hiyo ya huduma za simu za mkononi iliyotaka kukata rufaa katika Mahakama ya Rufaa kupinga amri ya kutakiwa kuwalipa ...

Soma Zaidi

Mapacha wa Beyoncé na Jay-Z watoka hospitalini

Mapacha wa Beyoncé na Jay-Z wameondoka hospitali na hatimaye wako nyumbani, vyanzo mbalimbali vinathibitisha. Baada ya kukaa katika hospitali kwa kipindi cha muda mrefu isivyo kawaida kwa mzazi, chanzo kilichosema kuwa Bey na watoto wameruhusiwa kutoka hospitalini na “wanaendelea vizuri.”

Soma Zaidi

“Nakisogelea kifo changu” – Afande Sele

​Msanii wa miondoko ya hip hop kutoka mkoani Morogoro Seleman Msindi a.k.a Afande sele, leo April 24 anaazimisha kumbukumbu yake ya kuzaliwa na kwenye ukurasa wake wa instagram ameandika ujumbe huu wenye mafunzo huku akisema kuwa anazidi kusogelea siku yake ya kifo. UMRI UNAENDA, MAJUKUMU YAONAONGEZEKA, KATIKA UJIO HUU WA UMRI (BIRTHDAY ) NAZIDI KUKISOGELEA KIFO CHANGU. Katika kuazimisha siku ...

Soma Zaidi

Roma Mkatoliki akamatwa na watu wasiojulikana

Msanii Roma Mkatoliki amekamatwa usiku wa kuamkia leo akiwa studio za Tongwe Records jijini Dar es Salaam. Msanii mwenzake Professor Jay ambaye ni mbunge wa jimbo la Mikumi kupitia ukurasa wake wa instagram amesema kuwa “Nimestushwa sana kusikia kuwa kuna watu wamevamia studio za TONGWE RECORDS majira ya saa moja usiku na wamemchukua ROMA @roma2030 , MONI @moni_centrozone na kijana ...

Soma Zaidi

Nay wa mitego atangaza maisha yake yapo hatarini

Siku chache baada ya rapa Nay wa mitego kukamatwa na polisi akiwa mjini Morogoro, kisha kusafirishwa hadi jijini Dar Es Salaam na baadae kuachiwa huru kwa amri ya rais, Msanii huyo kupitia ukurasa wake wa instagram amepost maneno yanashitua ambapo yanaashiria maisha yake yapo hatarini. Ujumbe huo ulisomeka “Usalama wa Maisha yangu umekua Mdogo kwasasa, Wana panga kunipoteza ikibidi nisiwepo ...

Soma Zaidi

Jeshi la Polisi Morogoro latoa sababu kukamatwa kwa Nay wa Mitego

Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi Mkoani Morogoro, Kamanda Ulrich Matei amethibitisha kukamatwa kwa msanii Nay wa Mitego usiku wa kuamkia leo mkoani Morogoro. Kamanda Ulrich Matei ametoa sababu kubwa ya kukamatwa kwa msanii huyo ni kutokana na kutoa wimbo unaofahamika kwa jina la ‘Wapo’ ambao anadai unaikashfu Serikali iliyopo maradakani. Kamanda Matei amesema shauri la Nay wa Mitego ...

Soma Zaidi

Skilizeni wanakwetu jiandaeni kwa colabo ya Diamond na Ali Kiba

Kuelekea fainali ya kombe la Mataifa Afrika kwa vijana chini ya miaka 17 nchini Gabon, kamati ya hamasa kwa Serengeti Boys inayoongozwa na Mwenyekiti Charles Hilal imeandaa wimbo wa pamoja utakaoimbwa na wasanii maarufu wa muziki wa Bongo Fleva, Naseebb Abdul ‘Diamond’ na Ali  Saleh ‘King Kiba’ pamoja na wasanii wengine. Wimbo huo wa pamoja ni maalum kwa ajili ya ...

Soma Zaidi

Steve Nyerere Atiwa Mbaroni

​Utata umeibuka juu ya kukamatwa kwa msanii wa filamu nchini Steven Mengele a.k.a Steve Nyerere, mara baada ya kuwepo kwa taarifa hizo ambazo zimetolewa ufafanuzi na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Simon Sirro. Akizungumza jana na wanahabari, Kamishna Sirro alisema yeye hajamuita Steve Nyerere lakini huenda akawa ameitwa na maafisa wake wa upelelezi kwa ajili ...

Soma Zaidi

Nay wa Mitego atangaza kuanzisha kanisa lake

Nay wa Mitego anasema anafungua kanisa lake la kumuabudu Mungu. Amedai kuwa kanisa lake litakuwa si la biashara, bali la kumuadu mwenyezi Mungu aliye hai. “Acha kanisa likamilike, mwenye Mungu asimamie tutajua nini kinaenda kutokea lakini sio kanisa kwaajili ya kupiga hela,” Nay aliiambia E-News. Nay amedai kuwa mchungaji wa kanisa lake atakuwa tofauti na hatotegemea sadaka za waumini ili ...

Soma Zaidi