kwetutanzania Newsroom

Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 11.09.2017

Meneja wa zamani wa timu ya taifa ya England Roy Hodgson anapigiwa upatu kuchukua nafasi ya Frank de Boer ambaye amefutwa kazi Crystal Palace baada ya kuwaongoza kwa mechi nne pekee. (Daily Mirror) Sam Allardyce pia anahusishwa na kazi hiyo ya Palace. (Daily Mail) Manchester United wamehifadhi jezi nambari saba kwa ajili ya mshambuliaji Antoine Griezmann, 26, ambaye wanaamini wanaweza ...

Soma Zaidi

‘Waziri’ Ngeleja ahojiwa na ofisi ya DCI

Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja amehojiwa kwa saa moja katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI), jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Septemba 11. Ngeleja ambaye pia amewahi kuwa Waziri wa Nishati na Madini wa awamu ya nne, aliwasili katika ofisi hiyo saa nne asubuhi akiwa peke yake ambapo alikutana na DCI saa tano na kuondoka saa sita ...

Soma Zaidi

Magufuli atoa kauli hii, kuhusu yeye kusaini wafungwa wanaotakiwa kunyongwa

Rais John Pombe Magufuli amefunguka na kutoa kauli yake kuhusu baadhi ya wafungwa ambao wamehukumiwa kunyongwa kutokana na makosa mbalimbali na kudai kuwa yeye anaogopa kusaini ili wafungwa hao wanyongwe. Rais Magufuli amesema hayo leo Ikulu jijini Dar es Salaama wakati akimuapisha Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Hamis Juma na kusema anatambua kuwa idadi wa wafungwa waliohukumiwa kunyongwa ni ...

Soma Zaidi

Huu ndio waraka alioutoa Mhe. Mbowe juu ya swala zima la Lissu kupigwa Risasi na hali yake ilivyo sasa

Kufuatilia shambulio la kikatili la risasi alilofanyiwa Mhe. Tundu Lissu na dereva wake,  Simon   Mohammed Bakari siku ya Alhamisi, 7 Septemba 2017, mjini Dodoma na kuhamishiwa katika JIji la Nairobi siku hiyo hiyo usiku kwa ajili ya matibabu na usalama, napenda kutoa taarifa zifuatazo kwa Watanzania wote. Mhe. Tundu Lissu UAMUZI WA KUMLETA NAIROBI BADALA YA DAR ES SALAAM. Tulilazimika ...

Soma Zaidi

Kikosi cha Yanga dhidi Njombe mji leo

Timu ya Yanga ambao ni mabingwa watetezi wa ligi kuu bara, iko mjini Njombe kukwaana na wapya wa ligi hiyo timu ya Njombe mji. Hii ni mechi ya pili kwa kila timu katika mzunguuko wa kwanza wa Ligi kuu ya Vodacom na kila timu inaingia ikiwa na historia ya matokeo yasiyo ya kuridhisha katika michezo ya awali ya ufunguzi wa ...

Soma Zaidi

Manchester City 5 – 0 Liverpool, Sadio mane apigwa umeme

Manchester City imetumia fursa ya kutolewa kwa kadi nyekundu Sadio Mane na kuweza kuitungua Liverpool 5-0 katika mpambano wa kusisimua kwenye Ligi Kuu ya Uingereza Uwanja wa Etihad. Mane alioneshwa kadi nyekundu ya moja kwa moja katika nusu ya kwanza ya mechi hiyo kwa kumfanyia rafu mbaya Ederson ambayo imesababisha kipa wa City kutolewa nje akiwa kwenye machela. Man City ...

Soma Zaidi