kwetutanzania Newsroom

CHELSEA YAANZA NA KUPOKEA KICHAPO UEFA CHAMPIONS LEAGUE

Usiku wa kuamkia leo february 17, katika uwanja wa Parc des Princes nchini Ufaansa mabingwa watetezi wa ligi kuu uingereza, timu ya Chelsea walicheza mechi ya kwanza ya raundi ya 16 bora katika ligi ya mabingwa Ulaya dhidi ya PSG na mchezo kumalizika kwa wao kutandikwa 2 – 1, kwa mabao yaliyofungwa na Zlatan Ibrahimovic dakika ya 39 na Edinson ...

Soma Zaidi

SOMA SABABU YA MHE. UMMY MWALIMU KUKATAA KUTUMBULIWA JIPU NA JPM, KWASABABU YA MADUDU YA WATENDAJI WA MSD

Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Watoto na Wazee Mhe. Ummy Mwalimu amewasimamisha wakurugenzi toka Bohari ya Dawa ya Taifa(MSD) kwa ubadhilifu wa fedha takribani Shillingi Billion 1.5. Ameyasema hayo wakati akizungumza na Waandishi wa Habari katika Kitengo cha Afya ya Mama na Mtoto baada ya kupokea vifaa toka Bohari Kuu ya Dawa ya Taifa (MSD) amesema amepata taarifa ya uchunguzi ...

Soma Zaidi

HUYU NDIYE STRICKER MKALI ANAYEWANYIMA USINGIZI MAN U

Manchester United wako tayari kuvunja kibubu ili kumnunua sticker mkali Pierre-Emerick Aubameyang na kumfanya mmoja wa nyota ghali katika dunia ya soka. Makamu Mwenyekiti Mtendaji wa United Ed Woodward amesema kuwa mshambuliaji huyo wa Borussia Dortmund mwenye uchu wa magoli, ndiye chaguo lao namba moja kwa sasa wanaetegemea kumnunua kipindi cha majira ya kiangazi. Ameongeza licha ya United kuwa kwenye ...

Soma Zaidi

JPM AFANYA UTEUZI WA MABALOZI, MAKAMISHNA WA POLISI NA KAIMU MKURUGENZI MKUU NIDA

Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Ikulu jana inasema kuwa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa mabalozi watatu katika Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa. Rais Magufuli pia amefanya uteuzi wa makamishna wanne wa Jeshi la Polisi na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya vitambulisho vya ...

Soma Zaidi

R.I.P Joni Woka

Msanii wa long time kwenye mziki wa Bongo fleva Joni Woka amefariki dunia jana jioni kwenye wodi ya kulaza wagonjwa mahututi (ICU) katika hospitali ya taifa ya Muhimbili. Akielezea issue nzima ya sababu ya kifo hicho, Msanii mwenzake Ras Lion amesema Joni woka aligongwa na chuma kilicho fyatuka kutoka kwenye gari alilokuwa akilitengeneza siku ya tarehe 13 february. Anaendelea kusema, ...

Soma Zaidi

SERIKALI KUSAMBAZA MADAKTARI BINGWA MAENEO YA PEMBEZONI IKIWEMO MKOA WA RUVUMA

Kauli hiyo ya serikali imetolewa na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto mjini Songea, Dkt. Hamisi Kigwangalla baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Ruvuma na kituo cha afya cha Mjimwema kilichopo mjini Songea huku akiitaka mikoa ya pembezoni ukiwemo mkoa huo wa Ruvuma kuweka mazingira ya kuwavutia madaktari bingwa ...

Soma Zaidi

Hello world!

Welcome to kwetutanzania.com news website. This is to inform you that we’re almost done with the construction…

Soma Zaidi