kwetutanzania Newsroom

Korea Kaskazini: Hotuba ya Trump ni sawa na mbwa anayebweka

Mwanadiplomasia wa cheo cha juu wa Korea Kaskazini ameifananisha hotuba ya Trump kwa Umoja wa Mataia na kibweko cha mbwa. Akihutubia baraza kuu la Umoja wa Mataifa siku ya Jumatano, Bw Trumo alisema kuwa ataiharibu Korea Kaskazini ikiwa itakuwa tisho kwa Marekani na washirika wake. Matamshi ya waziri wa mashauri ya nchi za kigeni Ri Yong-ho, ndiyo ya kwanza rasmi ...

Soma Zaidi

Mahakama yamfungia Rooney miaka miawili

Nahodha wa zamani wa kikosi cha England Wayne Rooney amefika mahakamani na kukiri kuendesha gari akiwa mlevi. Alikamatwa wakati polisi walisimamisha gari lake huko Wilmslow, Cheshire tarehe mosi mwezi Septemba. Rooney 31 alipigwa marufuku ya kuendesha gari kwa miaka miwili na kuamrishwa kutoa huduma ya jamii bila malipo kwa masaa 100. Rooney pia aliamrishwa kulipa pauni 170 wakati alifika katika ...

Soma Zaidi

Serikali yaendelea kuzuia almasi ya kampuni ya Petra

Shughuli zimeanza tena katika mgodi mkubwa zaidi wa madini ya almasi nchini Tanzania, licha ya mzozo na serikali ya Tanzania, ambayo ilikamata bahasha iliyokuwa na almasi kwenye uwanja wa ndege. Shughuli katika mgodi wa Williamson zimerejeshwa baada ya kusimamishwa kwa siku nne. Wiki moja iliyopita hisa kwenye kampuni ya Uingereza ya Petra zilishuka kwa asilimia 7, baada ya almasi zake ...

Soma Zaidi

Kocha huyu awa wa kwanza kujiuzuru VPL msimu huu

Uongozi wa Njombe mji FC unapenda kuwaarifu wanafamilia wa soka kuwa Kocha mkuu wao ameandika barua ya kuacha kuifundisha timu hiyo. Kocha huyo ndugu Ahmed Hassan Banyai ameachia ngazi kwa hiari yake siku ya Jumatatu, na barua amekwisha ikabidhi kwa uongozi. Wakati huohuo kocha msaidizi ndudu Mrage Kabange atasimamia timu kwa sasa mpaka hapo uongozi utakavyoamua nani awe kocha mkuu. ...

Soma Zaidi

Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 11.09.2017

Meneja wa zamani wa timu ya taifa ya England Roy Hodgson anapigiwa upatu kuchukua nafasi ya Frank de Boer ambaye amefutwa kazi Crystal Palace baada ya kuwaongoza kwa mechi nne pekee. (Daily Mirror) Sam Allardyce pia anahusishwa na kazi hiyo ya Palace. (Daily Mail) Manchester United wamehifadhi jezi nambari saba kwa ajili ya mshambuliaji Antoine Griezmann, 26, ambaye wanaamini wanaweza ...

Soma Zaidi