Kikosi cha Yanga dhidi Njombe mji leo

Timu ya Yanga ambao ni mabingwa watetezi wa ligi kuu bara, iko mjini Njombe kukwaana na wapya wa ligi hiyo timu ya Njombe mji.

Hii ni mechi ya pili kwa kila timu katika mzunguuko wa kwanza wa Ligi kuu ya Vodacom na kila timu inaingia ikiwa na historia ya matokeo yasiyo ya kuridhisha katika michezo ya awali ya ufunguzi wa ligi.

Yanga ilicheza katika dimba la Uhuru Dsm na kutoka sare ya 1 – 1 dhidi ya Lipuli ya Iringa, huku Njombe Mji ikifungwa nyumbani kwao na Tanzania Prisons 2 – 1.

Hiki hapa kikosi cha Yanga katika mechi ya leo.


Line up

1.Youthe Rostand
2.Juma Abdul
3.Gadiel michael
4.Nadir haroub
5.kelvin yondani
6.Pappy Tshishimbi
7.Ibrahimu Ajibu
8.Thabani kamusoko
9.Donald Ngoma
10.Obrey chilwa
11.Pius Buswita


Akiba

Ramadhani kabwiri
Kessy Ramadhani
Mwinyi Haji
Andrew vicent
Rafael Daudi
Emanuel martin
Mateo Antony
Juma Makapu
Mechi zingine za leo..

Comments

comments