Vikosi vya mechi ya Azam FC vs Simba SC chamazi

Mpambano wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara ambao uliokuwa ukisubiriwa na wengi, ni kati ya Azam FC vs Simba SC unatarajiwa kuanza dakika chache zijazo kutoka kati kiwanja cha Azam Complex kule Chamazi jijini Dar. 
Tizama vikosi hapa
AZAM FC

SIMBA SC
1. Aishi Manula
2.Ally Shomari
3.Erasto Nyoni
4.Salim Mbonde
5.Method Mwanjale
6.James Kotei
7.Haruma Niyonzima
8.Mzamiru Yassin
9.John Bocco
10.Nicholas Gyan
11.Shiza Kichuya

Sub

1.Emmanuel Mseja
2.Yusuph Mlipili
3.Mohammed Hussein
4.Mohammed Ibrahim
5.Laudit Mavugo
6.Said Ndemla
7.Mwinyi Kazimoto

Comments

comments