Kaseke alipokabidhiwa uzi wa SU FC jana

Hatimaye aliyekuwa mchezaji wa Yanga Deus Kaseke, jana alisaini kandarasi ya miaka miwili kuichezea Singida United.

Hivi sasa tayari amewasili mkoani Mwanza kujiunga na kikosi cha timu yake mpya ambacho kimeweka kambi hapo kujiandaa na msimu mpya ambapo ndio kwanza imepanda daraja.

Comments

comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *