Hatimaye Alvoro Morata afanya alichoona kinafaa kwa maisha yake

Mshambuliaji wa Real Madrid Alvaro Morata amefanya uamuzi juu ya mustakabali wake wa maisha ya soka baada ya takriban timu mbili kugonga mwamba kwenye kumnunua kutokana mabosi wake kutokubali dau linalowekwa mezani na timu hizo.
Morata ameamua kubakia na washindi wa Ligi ya Mabingwa Ulaya na kuelekeza nguvu zake kwenye vita ya kupata namba ya kudumu kwenye kikosi cha kocha Zinedine Zidane, kulingana na taarifa iliyopo tovuti ya Marca.

Morata

Comments

comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *