Mapacha wa Beyoncé na Jay-Z watoka hospitalini

Mapacha wa Beyoncé na Jay-Z wameondoka hospitali na hatimaye wako nyumbani, vyanzo mbalimbali vinathibitisha.

Baada ya kukaa katika hospitali kwa kipindi cha muda mrefu isivyo kawaida kwa mzazi, chanzo kilichosema kuwa Bey na watoto wameruhusiwa kutoka hospitalini na “wanaendelea vizuri.”

Comments

comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *