Skia alichosema Niyonzima kuhusu kwenda Simba

Alisema anashangazwa na viongozi Simba kuwadanganya mashabiki wao kama yeye amesaini simba. Asikika live Rwanda. FM RADIO. 87.6 katika kipindi cha michezo leo asubuhi.

Asema walichokizungumza na Yanga ndicho alichokizungumza na Simba lakini ukweli kwamba hajasaini Simba na wala hana mpango wa kusaini Simba.
Atoboa siri kuwa bado wapo kwenye mazungumzo na Yanga adai akitoka Yanga haendi timu yoyote Tanzania, Adai kuna vigogo ambao ni mashabiki wa Yanga akiwemo Waziri mmoja toka Wizara nyeti ambaye ni shabiki mkubwa wa Yanga amesafiri juzi usiku hadi Rwanda akiongozana na mtoto wa aliyekuwa mkuru wa nchi ambaye sasa ni Mbunge,
Wametua kule kwa ajiri ya mazungumzo nae.
Hivyo mchezaji huyo amesisitiza hadi sasa hajasaini Simba wala Yanga ila mwezi ujao kila kitu kitakuwa wazi.

Jamii Forums

Comments

comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *