“Nakisogelea kifo changu” – Afande Sele

Msanii wa miondoko ya hip hop kutoka mkoani Morogoro Seleman Msindi a.k.a Afande sele, leo April 24 anaazimisha kumbukumbu yake ya kuzaliwa na kwenye ukurasa wake wa instagram ameandika ujumbe huu wenye mafunzo huku akisema kuwa anazidi kusogelea siku yake ya kifo.

UMRI UNAENDA, MAJUKUMU YAONAONGEZEKA, KATIKA UJIO HUU WA UMRI (BIRTHDAY ) NAZIDI KUKISOGELEA KIFO CHANGU.
Katika kuazimisha siku yangu hii ya kuzaliwa, Nazidi kutafakari vipi nitazidi kuwa baba bora familia yangu, na natafakari vipi nitaacha kumbukumbu nzuri siku nikiondoka hapa Duniani, najua natambua sina hitaji lolote hapa Duniani zaidi ya afya njema na Furaha. HAPPY BIRTHDA🎂🎂 Y🎈,TO ME. 👑.
Every day I feel is a blessing from the Most High, father of Creation. And I consider it a new beginning. Yeah, everything is beautiful.

Comments

comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *