Ariana Grande aweka wazi kutoka na Mac Miller

AriandmacBaada ya kuwepo kwa tetesi siku za karibuni juu ya muimbaji Ariana Grande kutoka na rapa Mac Miller, sasa kila kitu sio siri tena.
Hili linajieleza wazi kuwa mdada huyo aliyeimba ngoma ya “Into You” hafichi tena mahusiano yake na jamaa baada ya kupost picha instagram ikiwaonesha wakijiachia kwa raha zao, kisha maelezo ya picha yakiandikwa “baabyyy” na kumtag Miller kwenye picha hiyo.
Tetesi hizi zilizidi kuzagaa baada ya wikendi iliyopita wawili hao kuonekana wakiwa pamoja kwenye tuzo za MTV VMA jijini New York, lakini mashabiki kaeni mkijua kuwa sio siri tena.

baabyyy

A post shared by Ariana Grande (@arianagrande) on

Comments

comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *